Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Mganga ashaokota, anapiga wali na kuku wa kafara.
Kesho monie yulee direct kwa mkuu wa shule kulipa ada ya mwanae.
Kesho monie yulee direct kwa mkuu wa shule kulipa ada ya mwanae.
Wachawi wanaenda mbeya na kurudi dar ndani ya dakika 4 tu ambapo hata F35 fighter jet haiwezi, wachawi Wana radar Kila unapoenda Kwa mganga wanajua na wanaenda kumpa pesa hata FBI au CIA HAWANA intelejensia Kali kama wachawi.Alafu itawasaidia nini?
Kuku ndo nmembandika hapa nishamnyonyoa tunamla wenyeweMganga ashaokota, anapiga wali na kuku wa kafara.
Kesho monie yulee direct kwa mkuu wa shule kulipa ada ya mwanae.
Mkuu nenda Kwa mwamposa au suguyeMkuu sisi na familia yako usitufanyie hivi
Hao ni matapeli brotherMkuu nenda Kwa mwamposa au suguye
Mama yako ni Mganga?Braza mshana hii kitu ni nini.
WanaJF kweli Mungu yupo na uchawi upo yani hapo tumefungwa familia nzima kuanzia mama na wanae wanne ilikua DO or DIE
Kwa mujibu wa waganga wanne ni kwamba kisingetolewa ilibdi familia nzima tuondoke tuame nyumba (wao) wakapange lasivo damu ingemwagika
View attachment 3397494
Hahaha.....we mwache apigwe kwa ujinga wake.Hao ni matapeli brother
Hapo mtaani kwenu hakuna mabango ya waganga kutoka sumbawanga?Hao ni matapeli brother
HahahaHapo mtaani kwenu hakuna mabango ya waganga kutoka sumbawanga?
Anhaa mganga yeye kaokota tu, kaona akimbie asisubiri huyo kuku, msijeingiwa na roho wa Mungu mkamstukia janja yake.Kuku ndo nmembandika hapa nishamnyonyoa tunamla wenyewe
EwaaaaAmekuja nacho mganga hiko mkuu usiogope.
Wakwako ndio kiboko....Hapo mtaani kwenu hakuna mabango ya waganga kutoka sumbawanga?
Ndo anaerogwa na kizaz chake, mamaangu ni fighter mafanikio yake ya kimaisha ndugu wengi wanamuonea wivu wengine hadi wanasema mama yenu kawezaje sisi wanaume tumeshindwa, kama Sio wivu n Nini huoMama yako ni Mganga?
Sasa hiyo picha mbona ni vichakani?Ndo anaerogwa na kizaz chake, mamaangu ni fighter mafanikio yake ya kimaisha ndugu wengi wanamuonea wivu wengine hadi wanasema mama yenu kawezaje sisi wanaume tumeshindwa, kama Sio wivu n Nini huo
Mkuu hao wachungaji hawahawa Wala kondoo au wachungaji Gani unazungumzia?Utapeli huo ,
Wachawi na waganga ni vitengo tofauti bosi wao mmoja ,sawa na FBI NA CIA ,
Hapo ni either wamekuja nacho hao waganga
Au ni kweli wachawi walikiweka ila kuwaita waganga wakitoe ni Bado upo kwenye cycle Yao
Au ni wewe ni tapeli unatafuta watu wakufate DM ,au unatangaza biashara ya utapeli wa uganga kiaina
Karibu kwa Yesu uombewe ,usiende kwa Hawa manabii maana ni kampuni moja na hao waganga ,utofauti wao wanavaa suti
Nyumba yetu ipo nje ya darSasa hiyo picha mbona ni vichakani?
Usihofu hakuna uchawi ... hivyo ni vitisho tu. Do not be grabedNyumba yetu ipo nje ya dar
Ndio maana nimesema hapo Hawa wanaojiita manabii ni sawa na hao waganga,Mkuu hao wachungaji hawahawa Wala kondoo au wachungaji Gani unazungumzia?
Mkuu waganga wapo na wachawi wapo kama unaamini kuhusu dini hili nalo lazma uamini
Maoni yako hayapaswi kupuuzwa mkuuPengine amezaliwa na kukulia mjini hajawahi kuona wale waganga wanaosema wanatoa uchawi hasa vijijini, hawa huzunguka karibu wilaya nzima wakitoa uchawi kama umewahi kuona hawa na maigizo yao huwezi kushtuka na vitu vya kipuuzi kama hivyo.
Ngoja niishie hapo watu wasije kazia mimi ni mganga maana kuna watu humu wanaamini hivyo.