Wachawi ni noma hicho kimetoka kitandani anapolala mamaangu

Wachawi ni noma hicho kimetoka kitandani anapolala mamaangu

Braza mshana hii kitu ni nini.

WanaJF kweli Mungu yupo na uchawi upo yani hapo tumefungwa familia nzima kuanzia mama na wanae wanne ilikua DO or DIE

Kwa mujibu wa waganga wanne ni kwamba kisingetolewa ilibdi familia nzima tuondoke tuame nyumba (wao) wakapange lasivo damu ingemwagika

View attachment 3397494
Poleni sana Ila sasa kumbukeni si kwamba mmemaliza bali ndio mmeanza vita rasmi
 
Amekuja nacho mganga hiko mkuu usiogope.
Sure waganga wahuni sana , enzi hizo mzee alimleta mganga akaenda nyuma ya nyumba kuchimba mimi nikawa na mtolea macho mwanzo mwisho nikaona analeta janja janja anaweka vitu anajifanya kavitoa kwenye kishimo
 
😂😂😂 nimemchana huyo jamaa amekaza shingo, basi imebidi nitulie tu.
 
Uchawi,dini ni package ya kipumbafu kwa wapumbafu
 
😂😂😂 nimemchana huyo jamaa amekaza shingo, basi imebidi nitulie tu.
Alafu mganga alivyo maliza akasema nataka ni wape kinga niwachanje mimi nikamwambia mimi sichanji, akabadili gia akasema huyu ambae hataki kuchanja nitampa dawa ya kuoga , familia nzima inanitolea macho, kumbe mganga ashajua huyu mwenyewe muhuni mwenzangu
 
Braza mshana hii kitu ni nini.

WanaJF kweli Mungu yupo na uchawi upo yani hapo tumefungwa familia nzima kuanzia mama na wanae wanne ilikua DO or DIE

Kwa mujibu wa waganga wanne ni kwamba kisingetolewa ilibdi familia nzima tuondoke tuame nyumba (wao) wakapange lasivo damu ingemwagika

View attachment 3397494
Source ya Nguvu za Wachawi na Source ya Waganga ni Moja, wote wanapata nguvu Toka Kwa Majini, Majini ambayo yanapata Nguvu Toka Kwa Lucifer.

Waganga wote wakubwa wenye Nguvu ni Wachawi, Kuna Wachawi wanaoroga, pia Kuna Wachawi ambao ni Waganga wa kienyeji, wote Hawa wanakaa Vikao pamoja, Wameweka tatizo Kwa Uchawi, then Mganga Mchawi anajifanya kuondoa tatizo.

Ntakwambia kitachotokea siku si nyingi, Matatizo makubwa yanakwenda kutokea kwenye familia yenu, sio katika mtindo ule ule, matatizo yatakuja Kwa namna tofauti...!

Mchawi Hana huruma.......!
-Acheni kwenda Kwa Waganga. (Wanatoa tatizo lililopo wanaweka tatizo kubwa zaidi, coz ni mpango wa Shetani)
-Acheni kutambikia Mizimu.
(Mnazipa Nguvu family Spirit ambayo ni Majini, Majini, Wachawi na Waganga kumbuka source ya Nguvu zao ni Moja)

Mpango no. 1 wa Shetani ni kuwafanya Binadamu wasimwabundu Mungu wao....!

DAWA YA YOTE NI KUOKOKA, KUMKABIDHI YESU MAISHA YENU KAMA FAMILIA, ukiona mambo yamefika yalipofika......hakuna njia nyingine Zaidi ya KUMKABIDHI YESU MAISHA YENU..... Mtabaki salama....! La sivyo.... Baada ya hasara kubwa Kuna siku utakuja hapa kusema Ulichelewa.

Mungu awasaidie.

The Creator is coming.
 
Alafu mganga alivyo maliza akasema nataka ni wape kinga niwachanje mimi nikamwambia mimi sichanji, akabadili gia akasema huyu ambae hataki kuchanja nitampa dawa ya kuoga , familia nzima inanitolea macho, kumbe mganga ashajua huyu mwenyewe muhuni mwenzangu
😂😂😂 halafu kama family nzima imelala kwenye hayo mambo wanakuchukulia kama wewe ndiyo unataka kuwaletea mabalaa. Kuna kile kipindi aliibuka babu wa loliondo na tiba zake, mara wakaibuka watu/wazee wengine karibu kila pembe ya nchi hii. Katika mkoa wetu pia aliibuka mmoja, Familia ilipanga safari kwenda huko mimi nikakataa kwa kusema dawa inayotibu kila ugonjwa haiwezi kupatikana kwa Elfu moja. (nilikuwa dogo wa makamo tu sijui jata ule ujasiri niliutoa wapi) Asee hapo masemango ya wazee na ndugu yalinishukia ikanilazimu kwenda tu.
 
Piga picha wakati wa asubuhi tukione vizuri

Ova
Tiktok yamejaa mleta mada asiwastue sana
Screenshot_20250707-230825.png
 
Braza mshana hii kitu ni nini.

WanaJF kweli Mungu yupo na uchawi upo yani hapo tumefungwa familia nzima kuanzia mama na wanae wanne ilikua DO or DIE

Kwa mujibu wa waganga wanne ni kwamba kisingetolewa ilibdi familia nzima tuondoke tuame nyumba (wao) wakapange lasivo damu ingemwagika

View attachment 3397494
Mganga alikiweka mwenyew na akaja kukitoa ili apige pesa
 
Back
Top Bottom