FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Hamna kitu hapo, noma ipi sasa.., hiyo ni phsychological warfare tu, itakuathiri kama utaamini tu!
Uyo Mgaga akifinywa vizuri atasema hicho kidubwana katoka nacho wapi.Braza mshana hii kitu ni nini.
WanaJF kweli Mungu yupo na uchawi upo yani hapo tumefungwa familia nzima kuanzia mama na wanae wanne ilikua DO or DIE
Kwa mujibu wa waganga wanne ni kwamba kisingetolewa ilibdi familia nzima tuondoke tuame nyumba (wao) wakapange lasivo damu ingemwagika
View attachment 3397494
Kwann uombewe ??Kama umeenda kwa waganga ili wakusaide tambua kuwa hujasaidika chochote. Sanasana familia imefungwa ktk nguvu za giza. Wewe ulipaswa kwenda kanisani kuombewa.
True kwa sababu wachawi hawana akili ukiwa na akili hata ya kuongoza bata huwezi kuwa mchawi.Wachawi bhana sijui kwanini ukiwa mjinga mjinga ndio wanakuroga mie kuna wachawi wawili waliwahi kuniroga wakashindwa wakawa wanaiogopa sana huyo bibi mtaa mzima unamuogopa lakini nikimuona simuogopi namsalimia akinituma naenda watu wakawa wana shangaa nilichokuja kugundua kuna watu haturogeki 😀😀
Uchawi upo Dunia mzma, dini zote zinszungumzia uchawi sio Islam, ukristo, Buddha, Hindu, taoism, Rasta sasa wewe muuza kitimoto kutoka Mama John mbeya utaniambia nn?Wewe mshirikina ndio una exposure na mtatapeliwa sana kwa upumbavu wenu wa kuamini matapeli
Sasa ni nini kipo hicho ambacho wabantu wao wanaamini ni uchawi?Uchawi haupo na haufanyi Kazi .
Haya mambo utayakuta jamii za wabantu ambao hawataki kujitfutia maarifa na kuwa huru.
HofuSasa ni nini kipo hicho ambacho wabantu wao wanaamini ni uchawi?
Umenifanya nicheke aloo, jamaa wanakuaga na mbinu zao....ukitulia kwa makini anavofanya unajua kabisa nmepigwa huku naonaaa😂😂😂😂anaweka afu anakuzubaisha usione anavokiweka🤗🤗🤗dunia hiiiAmekuja nacho mganga hiko mkuu usiogope.
Unaweza ukawa sahihi mkuu ila pia wengine nao wana experience tofauti nao, hujawahi kuona mgonjwa kakosa tiba hospitali na kwenda kutibiwa kwa mganga?I feel sorry to say that
Mwaka 2008 Baba mkubwa aliumwa ugonjwa wa kawaida ambao ulichangiwa zaidi na lifestyle
Pressure
Kisukari.
Haya magonjwa badala ya kutafuta matibabu akasema amerogwa na kuanza kwenda kwa wataalamu waganga .
Ilipofika 2009 akapata stroke , ile familia kushtuka ikawa too late akapelekwa india holaaa .
So kutokana na scenario Kama hiyo nilianza kuwachukia waganga Sana
Nikimuona MTU anaendekeza haya mambo ya kijinga ya kuamini amerogwa au karogwa ni ramli chobganishi na upumbavu mkubwa Sana
Na huu upumbavu aliwalisisha watoto wake wa kuamini mambo ya giza
🤣🤣🤣 nilimwambia mleta mada ila akakaza shingo.Umenifanya nicheke aloo, jamaa wanakuaga na mbinu zao....ukitulia kwa makini anavofanya unajua kabisa nmepigwa huku naonaaa😂😂😂😂anaweka afu anakuzubaisha usione anavokiweka🤗🤗🤗dunia hiii
Navyojua uchawi unahusika kwa mengi sio kwenye kurogana tu kuhusiana na maradhi tu, je hayo mambo mengine yenye kuhusishwa na uchawi mbali na kurogana unayazungumziaje?Hofu
Kwani mkuu ulitegemea akuroge vp?Wachawi bhana sijui kwanini ukiwa mjinga mjinga ndio wanakuroga mie kuna wachawi wawili waliwahi kuniroga wakashindwa wakawa wanaiogopa sana huyo bibi mtaa mzima unamuogopa lakini nikimuona simuogopi namsalimia akinituma naenda watu wakawa wana shangaa nilichokuja kugundua kuna watu haturogeki 😀😀
Mganga kakukataza wewe umekahidi umepiga picha, huoni kwamba umefanya shughuli iwe ngumu 😂Mkuu hapo nilipga haraka haraka mganga alinikataza
Kweli Ila Mimi nimeona pia angel zoteUnaweza ukawa sahihi mkuu ila pia wengine nao wana experience tofauti nao, hujawahi kuona mgonjwa kakosa tiba hospitali na kwenda kutibiwa kwa mganga?
Tukitaka kujadili vizuri hii mada tusikimbilie kufanya hitimisho kwa mitazamo yetu bali tusikilize na wengine ili tujifunze zaidi.
wachawi wanapata nguvu akikuroga alikuwa anatest mitambo akaumbuka mie sirogekiKwani mkuu akuroge vp?
kabisa kakaTrue kwa sababu wachawi hawana akili ukiwa na akili hata ya kuongoza bata huwezi kuwa mchawi.