Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Uvunguni mwa kitanda?WanaJF kweli Mungu yupo na uchawi upo yani hapo tumefungwa familia nzima kuanzia mama na wanae wanne ilikua DO or DIE
Uvunguni mwa kitanda?WanaJF kweli Mungu yupo na uchawi upo yani hapo tumefungwa familia nzima kuanzia mama na wanae wanne ilikua DO or DIE
Uchawi haupo na haufanyi Kazi .Mchawi ni kiumbe dhaifu sana asiye na akili silaha yake kubwa na hofu na uoga.
Usimuogope
Hizo ni fikra zako uchawi upo na uganga upo labda use huna dini ndo utakua na mawazo hayoKwa mtu ambaye hajatembea sana kwa waganga anaweza amini huu upuuZi wa mtoa mada. Hapo ameshapigwa tayari. Hayo ni mazingaombwe hamna Cha sijui Nini tumetoa humo wee suburi kukamuliwa kibunda mrudi makwenu mkiwa mmejazwa chuki na mifalakano kwa ndugu na majilani kwamba waliwatupia dude hilo
Uchawi upo hadi Kwa waliokuletea dini ulaya na uarabuni halaf unaleta mada za uchawi hamna, ww ni dini gani kwanza?Uchawi haupo na haufanyi Kazi .
Haya mambo utayakuta jamii za wabantu ambao hawataki kujitfutia maarifa na kuwa huru.
Dini hazipo pia Mkuu zote hizo ni miradi ya watu kuwazubaisha wajinga.Uchawi upo hadi Kwa waliokuletea dini ulaya na uarabuni halaf unaleta mada za uchawi hamna, ww ni dini gani kwanza?
Halaf uko sumbawanga ndo wanaongoza Kwa kutumiana radiKwahiyo mkuu ni wakristo tu ndio wana tiba ya matatizo ya kichawi?
Aha sawa kama ndo unaamini hvoDini hazipo pia Mkuu zote hizo ni miradi ya watu kuwazubaisha wajinga.
Uchawi upo duniani nzima ishu ya kulogwa ipo ndani mwako inategemea na frequency zakoUchawi haupo na haufanyi Kazi .
Haya mambo utayakuta jamii za wabantu ambao hawataki kujitfutia maarifa na kuwa huru.
Anhaaa kwahiyo uki-tune tu imoUchawi upo duniani nzima ishu ya kulogwa ipo ndani mwako inategemea na frequency zako
Ndo tunakichoma
Kwa mwamposa?
Wewe mshirikina ndio una exposure na mtatapeliwa sana kwa upumbavu wenu wa kuamini matapeliHuna exposure