Wachawi ni noma hicho kimetoka kitandani anapolala mamaangu

Wachawi ni noma hicho kimetoka kitandani anapolala mamaangu

Mganga alikiweka mwenyew na akaja kukitoa ili apige pesa
Kwasabab Bado unakula Kwa shemeji uwezi kuwa na uelewa wa mambo mazito yanaoendelea dunia nje ya Kaz za nyumban kufua na kuosha vyombo, huku ukiwa ujui lolote mume wa dadaako Hela anapataje pataje
 
Kwasabab Bado unakula Kwa shemeji uwezi kuwa na uelewa wa mambo mazito yanaoendelea dunia nje ya Kaz za nyumban kufua na kuosha vyombo, huku ukiwa ujui lolote mume wa dadaako Hela anapataje pataje
Nina experience na mambo hayo pengine kukuzidi hata wewe. Hafu hunijui so relax usijambe
 
Pengine amezaliwa na kukulia mjini hajawahi kuona wale waganga wanaosema wanatoa uchawi hasa vijijini, hawa huzunguka karibu wilaya nzima wakitoa uchawi kama umewahi kuona hawa na maigizo yao huwezi kushtuka na vitu vya kipuuzi kama hivyo.

Ngoja niishie hapo watu wasije kazia mimi ni mganga maana kuna watu humu wanaamini hivyo.
Uhakika nilishawahi shuhudia dogo mmoja anatolewa miguu ya kuku kwenye kidonda, mwingine hirizi kichwani. Hawa ni matapeli kama matapeli mengine stukeni wakuu
 
Kwa mtu ambaye hajatembea sana kwa waganga anaweza amini huu upuuZi wa mtoa mada. Hapo ameshapigwa tayari. Hayo ni mazingaombwe hamna Cha sijui Nini tumetoa humo wee suburi kukamuliwa kibunda mrudi makwenu mkiwa mmejazwa chuki na mifalakano kwa ndugu na majilani kwamba waliwatupia dude hilo
 
Braza mshana hii kitu ni nini.

WanaJF kweli Mungu yupo na uchawi upo yani hapo tumefungwa familia nzima kuanzia mama na wanae wanne ilikua DO or DIE

Kwa mujibu wa waganga wanne ni kwamba kisingetolewa ilibdi familia nzima tuondoke tuame nyumba (wao) wakapange lasivo damu ingemwagika

View attachment 3397494
Pole.
Umepigwa cheusi chekundu.
 
Haya mambo yakikupata ndo utajua yapo kama ujawahi kutana nayo utasema hivohvo tuendelee kusali huku una maji na mafuta ya upako kutoka Kwa mwamposa
Mnatapeliwa kijingga Sana .

Waambie hao wachawi waniroge na Mimi

Jina naitwa yusuph Bariki Mwanamapinduzi.


Wachawi wanachofanya ni kukuuzia hofu ili vibration na frequency viwe chini.
 
Braza mshana hii kitu ni nini.

WanaJF kweli Mungu yupo na uchawi upo yani hapo tumefungwa familia nzima kuanzia mama na wanae wanne ilikua DO or DIE

Kwa mujibu wa waganga wanne ni kwamba kisingetolewa ilibdi familia nzima tuondoke tuame nyumba (wao) wakapange lasivo damu ingemwagika

View attachment 3397494
Usikute ni ndugu wa Mama yako ndiyo waliofanya hivi au majirani wasio na nia nzuri nanyi.
 
Mnatapeliwa kijingga Sana .

Waambie hao wachawi waniroge na Mimi

Jina naitwa yusuph Bariki Mwanamapinduzi.


Wachawi wanachofanya ni kukuuzia hofu ili vibration na frequency viwe chini.
Toka lini mchawi akajiroga mwenyewe, si mpaka ajipige? Kwa hivi unavyotamba, sitoshangaa kama ni wewe ndiye uliyepandikiza hili tego.
 
Uhakika nilishawahi shuhudia dogo mmoja anatolewa miguu ya kuku kwenye kidonda, mwingine hirizi kichwani. Hawa ni matapeli kama matapeli mengine stukeni wakuu
Ukilala kwenye imani ya haya mambo ni ngumu kugeuza shingo, kibaya zaidi ni kwamba kila changamoto inayokukuta kwenye maisha unahamishia akili kwenye kurogwa.
 
Braza mshana hii kitu ni nini.

WanaJF kweli Mungu yupo na uchawi upo yani hapo tumefungwa familia nzima kuanzia mama na wanae wanne ilikua DO or DIE

Kwa mujibu wa waganga wanne ni kwamba kisingetolewa ilibdi familia nzima tuondoke tuame nyumba (wao) wakapange lasivo damu ingemwagika

View attachment 3397494
Pole mkuu, mimi na familia yangu tumeamua kuhama na kuitekeleza nyumba kutokana na sababu kama huu

Uchawi upo
 
Mchawi ni kiumbe dhaifu sana asiye na akili silaha yake kubwa na hofu na uoga.
Usimuogope
 
Huu utapeli upo afrika tu bara la wajinga
 
Kama um

Kama umeenda kwa waganga ili wakusaide tambua kuwa hujasaidika chochote. Sanasana familia imefungwa ktk nguvu za giza. Wewe ulipaswa kwenda kanisani kuombewa.
Kwahiyo mkuu ni wakristo tu ndio wana tiba ya matatizo ya kichawi?
 
Back
Top Bottom