Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Ulimfanya nini....hahahaNdio maana nimesema hapo Hawa wanaojiita manabii ni sawa na hao waganga,
Wachungaji wa kweli wapo na wahuni wapo
Waganga na wachawi ni wamoja
Binafsi wachawi na waganga wananiogopa sana
Nimetoka juzi tu hapa kumkomesha mama mmoja ni mchawi ,nilipanga nyumba yake bila kujua kama ni mchawi, madalali waliniingiza chaka ,
nikasema siwezi kumkimbia mchawi ,yeye ndiye anikimbie, mkataba wa miezi minne, cha ajabu kanirudishia pesa yangu nihame ,maana kipigo alichokuwa anakutana nacho ni Siri yake