Wachawi ni noma hicho kimetoka kitandani anapolala mamaangu

Wachawi ni noma hicho kimetoka kitandani anapolala mamaangu

Wale ni MATAPELI tupu ,wanamazingaombwe pia ni MATAPELI pia....na hao waganga wake waliotoa vitu ni MATAPELI na tukienda mbele zaidi hata mtoa mada anaweza pia kuwa TAPELI maana kuna watu wataomba namba za huyo mganga nao watatuliwe na hapo ndipo A few moments later itakapokuja.
A few moment later ,🙌😁😁😁
 
Pengine amezaliwa na kukulia mjini hajawahi kuona wale waganga wanaosema wanatoa uchawi hasa vijijini, hawa huzunguka karibu wilaya nzima wakitoa uchawi kama umewahi kuona hawa na maigizo yao huwezi kushtuka na vitu vya kipuuzi kama hivyo.

Ngoja niishie hapo watu wasije kazia mimi ni mganga maana kuna watu humu wanaamini hivyo.
Ngoja kwanza mkuu,yombo toka lini akapiga yoga🤷🏽‍♂️😂😂
 
Wale ni MATAPELI tupu ,wanamazingaombwe pia ni MATAPELI pia....na hao waganga wake waliotoa vitu ni MATAPELI na tukienda mbele zaidi hata mtoa mada anaweza pia kuwa TAPELI maana kuna watu wataomba namba za huyo mganga nao watatuliwe na hapo ndipo A few moments later itakapokuja.
Unajiabisha..hata wakitapeliwa pesa ni za kwako? Sio kila kitu ni Cha kukoment kama huna Cha maana Cha kusema..watu wametafuta pesa kwa jasho lao wanatumia watakavyo wewe unaumia wakitapeliwa..uko sawa kichwani? Halafu hii tabia ya ******* ya kuita watu matapeli bila kua na ushahidi wa kudhibitisha muache ..
 
Back
Top Bottom