Wachawi ni noma hicho kimetoka kitandani anapolala mamaangu

Wachawi ni noma hicho kimetoka kitandani anapolala mamaangu

Kweli Ila Mimi nimeona pia angel zote

Ugonjwa kukosa tiba hosptalini haimaniishi umerogwa , kumbuka sisi watanzania walio wengi 90% tunaishia hosptali zetu Muhimbili tukienda mbali Sana ni India .

Sio kila ugonjwa tuna uwezo wa kuufanyia diagnosis .

Concept ya MTU kuongea kuwa nimezunguka hosptali zote Ila sijapona inaweza kuwa sio sahihi

Kwakuwa kuna level za kimatibabu na Vifaa hapa Tanzania hatuna.

Mfano yule msanii anaitwa Hawa alikuwa anaumwa Ila at the first amekwenda muhimbili hakupona akaanza kuamini ule ulikuwa ugonjwa wa kichawi Ila alipopelekwa India alipona vizuri and now she is okay.

Mfano mtoa mada ameonesha matunguli Ila nakuhakikishia hayo matungulia ni mganga amecheza na akili zao.

Waganga wanatumia dark psychology kukumbia Adui wa kufikirika na ukiingia king utaanza kuwaamini na hapo utakuwa mteja wao na watakupiga Sana hela.

Uchawi ni level za chini Sana za ufahamu na ambazo haziwezi kumdhuru MTU moja kwa moja hadi yaye aruhusu .
Ni kweli ugonjwa kukosa tiba hospitalini haimanishi umerogwa, ila unakuta huyo mgonjwa anapona kwa tiba ya kiganga. Sasa hapo mkuu huyu mtu unamuelimisha vp kwa experience yake hiyo?
 
Ni kweli ugonjwa kukosa tiba hospitalini haimanishi umerogwa, ila unakuta huyo mgonjwa anapona kwa tiba ya kiganga. Sasa hapo mkuu huyu mtu unamuelimisha vp kwa experience yake hiyo?
Okay Ila nitarudi kuendelea hapo ....

Ila MTU akifanikiwa kukuundia adui wa kufikirika ni hatari kwakuwa utakuwa katika end less war and you will never win .

Mambo Kama haya wanayajua waganga na watu Kama Mwamposa.
 
Unajuaje hurogeki au unajuaje kwamba hapo ulipo teyari usharogwa ama hujarogwa? Ndio maana nimekuuliza ulitaka akuroge vp ili ndio useme kuwa hapa nimerogwa?
Kwa mujibu wa quran na ukristo kurogwa kuna wezekana kuna watu kibao wamerogwa katika historia ya ukristo na uislam mfano muhammad aliwahi kurogwa kwa kupitia kitana na ukiristo ndio usiseme hadi kumtoa jini wanafundisha kwa maana ushaelewa kuhusu uchawi
 
Okay Ila nitarudi kuendelea hapo ....

Ila MTU akifanikiwa kukuundia adui wa kufikirika ni hatari kwakuwa utakuwa katika end less war and you will never win .

Mambo Kama haya wanayajua waganga na watu Kama Mwamposa.
Navyojua watu hawaendi kwa waganga ili kuamini bali kutafuta tiba au suluhisho la matatizo yao.
 
Kwa mujibu wa quran na ukristo kurogwa kuna wezekana kuna watu kibao wamerogwa katika historia ya ukristo na uislam mfano muhammad aliwahi kurogwa kwa kupitia kitana na ukiristo ndio usiseme hadi kumtoa jini wanafundisha kwa maana ushaelewa kuhusu uchawi
Labda nifafanue uelewe, ni kwamba mtu kukuroga sio lazima akutie maradhi uone unaumwa bali anaweza kukuroga katika mambo ambayo hata usijue kabisa yani ukaona ni kawaida kumbe ni athari za uchawi uliyorogwa.
 
kabisa sasa mie ni kama Yakobo hakuna uchawi utakaoniroga
 
Ujinga bado ni janga namba moja la taifa.
 
Back
Top Bottom