Wachawi tukutane hapa

Shadrack K. Lwila

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
4,925
Reaction score
14,287
Habari zenu

Niende moja kwa moja kwenye mada maana wachawi hatunaga maneno mengi ni vitendo tu.

Kwa miaka mingi sana nilipenda wachawi wote wa (jf)tufahamiane! Ndiwooo tufahamiane hili tusilogane(interlogertive)

Mimi nipo SUMBAWANGA huku mimi ndo brand manager nina uwezo wakuamisha mimba na uchungu.
Ukimpa mtu mimba na ukaikataa kwa makusudi nina uwezo wa kuiamisha mimba hiyo ije kwako.

Huwa napiga root kutoka SUMBAWANGA hadi UYOLE,MBEYA

DAR-ES-SALAAM nilishawahi kwenda ila nilichokutana nacho kule ni hatar hasa hasa pale KARIAKOO wachawi kila kona ya lile soko kama unavyojua waarabu wanatambuana kwa vilemba niliwajua nao wakanijua aisee yaaani walikua watupu(uchi wa mnyama)

Tufaamiane basi
Cc.wachawi
Karibuni SUMBAWANGA
 
Nin Asili Ya Uchawi

Tuanzie Hapo
Toka enzi na enzi uchawi upo mkuu mababu na mababu waliutumia kama jadi yao na uliwanufaisha kwa namna moja au nyingine na zipo mila na desturi za kichawi kwaiyo kuitambua asili ya uchawi itakuwa ngumu mkuu mf. NIGERIA kule naweza sema ndio chimbuko halisi la uchawi kila kabira kunauchawi mkuu na asili ni mababu zetu wa kale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…