Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Joverest kwenye ubora wakewachawi kwenye ubora wenu
[emoji12] [emoji2] [emoji23] [emoji125]Ningeshangaa kama nisingemuona mshana Jr
Wapo wachawi wanaologa kwa visasi au sababu wanazozijenga wenyewe katika bongo zao anaweza akakuchukia tu bila sababu ya msingi au sababu anazozijua yeye na akaamua kukuloga huku SUMBAWANGA ndo mkoa unao ongoza kwa vichaa (watu wasiokuwa na akili timilifu) huku ukiwa tajiri unalogwa ndo mana matajiri wa huku SUMBAWANGA wengi ni wageni(waliotoka mikoa mingine)kwanini mnaloga watu wakati hawana hatia?
Wapi mbio[emoji12] [emoji2] [emoji23] [emoji125]
Aseeh huwa siamini kabisa kazi zenuMkongwe wa hizi kazi nipo hapa unaweza uliza lolote kuhusu uchawi nikakupa njia
Uchawi sio chama kama kilivyo FREE MASON huku ukitaka kujiunga chakwanza lazima uje kwangu SUMBAWANGA ndo takupa accessories zote na utakuwa konkodiHongeren inabidi nasi mtupe somo ili tuweze kuhamisika kujiuunga
nawasalimu aseehJoverest kwenye ubora wake
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87]Wapo wachawi wanaologa kwa visasi au sababu wanazozijenga wenyewe katika bongo zao anaweza akakuchukia tu bila sababu ya msingi au sababu anazozijua yeye na akaamua kukuloga huku SUMBAWANGA ndo mkoa unao ongoza kwa vichaa (watu wasiokuwa na akili timilifu) huku ukiwa tajiri unalogwa ndo mana matajiri wa huku SUMBAWANGA wengi ni wageni(waliotoka mikoa mingine)
Binafsi mimi sio mzawa wa SUMBAWANGA ila nimekulia tu huku uchawi naujua vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23]dhoruba aisee aina shida takutembelea huko darMchawi shedede sikia, kuna vitu vingine siwezi kuongea na wewe kupitia hii forum vinahitaji tuonane hana kwa hana na mimi ungo wangu una matundu kibao kwani nilipatwa na dhoruba nilipojaribu kwenda Mecca. Kwa kifupi, njoo basi huku Dar tuonane tuyazungumze yetu.
Narudi nilikotoka[emoji23] [emoji2] [emoji12]Wapi mbio
You don't have to....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] I'm so scared
Uchawi ulianza kuufanya ukiwa na umri gani?MKUU MI NIPO HUKU UKEREWE NAMBA YANGU NI C 54321
Yani Maelezo Yote Hayo Unasema Asili Ya Uchawi Nigeria........????Toka enzi na enzi uchawi upo mkuu mababu na mababu waliutumia kama jadi yao na uliwanufaisha kwa namna moja au nyingine na zipo mila na desturi za kichawi kwaiyo kuitambua asili ya uchawi itakuwa ngumu mkuu mf. NIGERIA kule naweza sema ndio chimbuko halisi la uchawi kila kabira kunauchawi mkuu na asili ni mababu zetu wa kale.
Correction : Mkoa unaoongoza kwa vichaa wengi ni Kilimanjaro.Wapo wachawi wanaologa kwa visasi au sababu wanazozijenga wenyewe katika bongo zao anaweza akakuchukia tu bila sababu ya msingi au sababu anazozijua yeye na akaamua kukuloga huku SUMBAWANGA ndo mkoa unao ongoza kwa vichaa (watu wasiokuwa na akili timilifu) huku ukiwa tajiri unalogwa ndo mana matajiri wa huku SUMBAWANGA wengi ni wageni(waliotoka mikoa mingine)
Binafsi mimi sio mzawa wa SUMBAWANGA ila nimekulia tu huku uchawi naujua vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23]aisee kuloga bunge tenaMloge nanihii bunge liwe live
Nooooo.....kumbe nalala na mchawiii ooooo my godYou don't have to....