255Gene
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 888
- 1,090
we nitakutafta uniazime mamba wa kumtekea kadada flani ivii
MKUU MI NIPO HUKU UKEREWE NAMBA YANGU NI C 54321
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKUU MI NIPO HUKU UKEREWE NAMBA YANGU NI C 54321
Nipe hirizi asiniambukize uwanga wake[emoji781] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Mkuu, serikali sio kwamba haiamini uchawi inaamini maana hata hao wenyewe wana viashiria vingi tu vya uchawi eg. Tourch of arm. Unajuwa nini maana ya kukizungusha hiki kitu all over the country before something happen? Hawa serikali ni wachawi ila wewe ukipeleka kesi yako inayohusu uchawi hautasikilizwa kwa7babu hizi kesi hazina ushahidi ndio maana wajifanya hawaamini lakini nafsi zao zinaamini kuwa uchawi upo.Serikali haiwezi kuamini uchawi hata siku moja labda kwa nchi za wenzetu wao uchawi nje nje na kila kitu kipo wazi
Ndo mana ukipatikana na tuhuma za uchawi serikali ndo yakwanza kukutetea.
Uchawi ulianza kuufanya ukiwa na umri gani?
Mkuu ni kweli kabisa kuna rafiki yangu mwanae anasoma shule fulani ipo Tanga yupo form2,mtihani wa kuingia form2 alikuwa wa kwanza kapewa zawadi shuleni,alipokwenda kuanza term ya kwanza form2 kaanza kupagawa na mapepo hadi ninapoandika hapa bado hajakaa sawa!sasa sijui kama ndo wamefanya yao!ila tupo kwenye maombi mazito maana giza halijawahi kuishinda nuru!Wachawi watu wabaya sana wana mambo ya ajabu vitisho, visasi, chuki, wivu...........zao kbs.
Mchochezi wewe nanihii anakamati yake inaongonzwa na bashiteMloge nanihii bunge liwe live
MKUU MI NIPO HUKU UKEREWE NAMBA YANGU NI C 54321
Nilisafiri na ungo hadi white house kwa Trump.
Hapa ninavyokoment nipo makaburini huku nafufua misukule.
Huwa wananiita kiranja wa wachawi.
Nitakuchukua msukule ohooooMcutiie Mbona unaniangusha tena dahhh