Wachawi tukutane hapa

Wachawi tukutane hapa

Uchawi ni ugurugaji,

Kwa hiyo ninyi ndo mnowavuruga wabunge wawapo mjengoni wasisimamie haki za wengine, mmewavuruga kias kwamba kila wanoletewa wao wanajikuta wakigonga meza tu na kupiga vigelegele,

Natafuta wakili msomi tukawafungulie mashtaka kotini ili sheria ichukue mkondo wake,
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna kutafakari yaani, kila kitu ni kugonga meza tu na vigeregere!
 
Uchawi sio chama kama kilivyo FREE MASON huku ukitaka kujiunga chakwanza lazima uje kwangu SUMBAWANGA ndo takupa accessories zote na utakuwa konkodi
Mkuu acha kuichafua Sumbawanga bhana. Haya mambo siku hizi yametapakaa kote duniani. Bahati mbaya hakuna takwimu zinazoonyesha ni wapi panaongoza.
....
Nina ombi moja kwenu kamati ya wachawi. Mnisaidie nataka kumbandua mtoto wa Obama Maria. Nadhani ndio nitakua nabikiri mimi [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom