Wachawi tukutane hapa

Wachawi tukutane hapa

kwanini mnaloga watu wakati hawana hatia?
Wapo wachawi wanaologa kwa visasi au sababu wanazozijenga wenyewe katika bongo zao anaweza akakuchukia tu bila sababu ya msingi au sababu anazozijua yeye na akaamua kukuloga huku SUMBAWANGA ndo mkoa unao ongoza kwa vichaa (watu wasiokuwa na akili timilifu) huku ukiwa tajiri unalogwa ndo mana matajiri wa huku SUMBAWANGA wengi ni wageni(waliotoka mikoa mingine)

Binafsi mimi sio mzawa wa SUMBAWANGA ila nimekulia tu huku uchawi naujua vizuri.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] I'm so scared
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87]
 
Mchawi shedede sikia, kuna vitu vingine siwezi kuongea na wewe kupitia hii forum vinahitaji tuonane hana kwa hana na mimi ungo wangu una matundu kibao kwani nilipatwa na dhoruba nilipojaribu kwenda Mecca. Kwa kifupi, njoo basi huku Dar tuonane tuyazungumze yetu.
[emoji23][emoji23][emoji23]dhoruba aisee aina shida takutembelea huko dar
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] I'm so scared
You don't have to....
 
Toka enzi na enzi uchawi upo mkuu mababu na mababu waliutumia kama jadi yao na uliwanufaisha kwa namna moja au nyingine na zipo mila na desturi za kichawi kwaiyo kuitambua asili ya uchawi itakuwa ngumu mkuu mf. NIGERIA kule naweza sema ndio chimbuko halisi la uchawi kila kabira kunauchawi mkuu na asili ni mababu zetu wa kale.
Yani Maelezo Yote Hayo Unasema Asili Ya Uchawi Nigeria........????

Wew BURE kabisa
 
Wapo wachawi wanaologa kwa visasi au sababu wanazozijenga wenyewe katika bongo zao anaweza akakuchukia tu bila sababu ya msingi au sababu anazozijua yeye na akaamua kukuloga huku SUMBAWANGA ndo mkoa unao ongoza kwa vichaa (watu wasiokuwa na akili timilifu) huku ukiwa tajiri unalogwa ndo mana matajiri wa huku SUMBAWANGA wengi ni wageni(waliotoka mikoa mingine)

Binafsi mimi sio mzawa wa SUMBAWANGA ila nimekulia tu huku uchawi naujua vizuri.
Correction : Mkoa unaoongoza kwa vichaa wengi ni Kilimanjaro.
Wageni wengi kuwa matajiri ni sehem zote tu. Kariakoo matajiri sio wazarami, Mbeya mjin matajiri sio wasafwa. Iringa matajir weng waarabu, Arusha matajiri wachaga
 
Back
Top Bottom