Wachawi wanavyoiba nyota za watu wanafanyaje?

Mungu alimuumba mwanadamu akiwa kakamilika na akampa akili aitumie kuvitawala vyote ikiwemo kufanya makubwa Sana.Uchawi umeletwa duniani na shetani kupitia majini ndio wanaowafunza watu uchawi na ushirikina kwa lengo kuu la kumfanya mwanadamu asiweze kuitumia akili yake kufikiri zaidi lengo kuu la uchawi ni kupunguza uwezo wa kufikiri.
Thus mchawi, mganga huwa hawana maendeleo kwa maana ya maendeleo yanayooneka.Ukiona mganga anayo maendeleo kaongeza na utapeli kupitia mazingaombwe Ili kuwahadaa watu kupata pesa
 
Uchawi ni sayansi duni
 
Kwani CCT inaweza kuona majini? Kama inaweza ninaenda dukani sasa hivi kununua.
Cctv haina uwezo wa kuona jini au mchawi labda tu viumbe hivyo viamue kujionesha kimwili.Vinaonekana kwenye ulimwengu wa roho ni hadi uwe na jicho la tatu Ili kuweza kuviona viumbe hivyo.
Bali unaweza kuhisi uwepo wa vitu hivyo.
Mbwa, mtoto mchanga, mtoto Mdogo ambae ajaanza kuongea,kichaa, mganga wanao uwezo wa kuviona vitu visivyoonekana.
Mganga anao uwezo wa kukuonyesha majini na wachawi.
 
Na mazingaombwe ni nini?

Je, Mwanamazingaombwe anaweza kubadili alichoumba Mungu? Mfano, Mungu ameumba macho na akili vitambue kuwa huyu ni Mtumishi Kalunya, anakuja Mwanamazingaombwe anatuuliza je, huyu ni Mtumishi Kalunya? wote tunaitika ndiyooo ni yeye, anasema sasa ninambadili kuwa Matonya, mnakubali inawezekana? Sote tunakanusha haiwezekani, anafanya afanyavyo, mara huyooo Mtumishi Kalunya kawa Matonya kweli, anauliza huyu ni Mtumishi Kalunya? wote tunaitika siyeeee, anauliza ni nani kumbe huyu? wote tunaitika ni Matonya......

Mazingaombwe ni nin? Mazingaombwe kumbe anaweza kubadili alichoumba Mungu kuwa kitu kingine!

Kama anaweza, mimi niambieni alipo ili aje anibadilishie exhibit ya kesi yangu Mahakamani itoke kuwa Cocaine iwe hundi hewa.
 
Wale wazee wa kudanganya watu kwa stori za kichawi huwezi kuwaona hapa.

Nyota ni nini na inaibiwaje!?

No one knows!!
Kama nyota inaibiwa je, ya Magufuli kaiba nani? Museveni? Ndayishimiye? Abdel Fattah el-Sisi? Dr. Hussein Mwinyi? Au Mama?

Mama anapiga kazi maradufu ya Magufuli je, kavuta nyota ya Magufuli?

Je, serikali inarogeka? Kwanini hairogeki? Kama serikali hairogeki kwanini mtu arogeke na serikali ni watu?
 
Na mazingaombwe ni nini?

Je, Mwanamazingaombwe anaweza kubadili alichoumba Mungu? Mfano, Mungu ameumba macho na akili vitambue kuwa huyu ni Mtumishi Kalunya, anakuja Mwanamazingaombwe anatuuliza je, huyu ni Mtumishi Kalunya? wote tunaitika ndiyooo ni yeye, anasema sasa ninambadili kuwa Matonya, mnakubali inawezekana? Sote tunakanusha haiwezekani, anafanya afanyavyo, mara huyooo Mtumishi Kalunya kawa Matonya kweli, anauliza huyu ni Mtumishi Kalunya? wote tunaitika siyeeee, anauliza ni nani kumbe huyu? wote tunaitika ni Matonya......

Mazingaombwe ni nin? Mazingaombwe kumbe anaweza kubadili alichoumba Mungu kuwa kitu kingine!

Kama anaweza, mimi niambieni alipo ili aje anibadilishie exhibit ya kesi yangu Mahakamani itoke kuwa Cocaine iwe hundi hewa.
Hakuna nguvu yeyeto yenye uwezo wa kubadili alichokiumba Mwenyezi Mungu yeye ndie nguvu kuu kuliko zote,ukijifunza kuhusu mambo ya spiritual power.
Hii sayansi ya mazingaombwe sipo nayo deep Sana but ni kundi la uchawi wa kufanya miujiza ni kama michezo ya kupumbaza akili,zipo aina nyingi za mazingaombwe utegemea na mhusika anataka kuitumia wapi mfano kanisani, kwenye maonyesho,nk kwa malengo gani.
 
Ni kitu kinachoweza kuonekana?

Wakiipeleka kwa mganga wanaenda kuifanyia nini?
Haionekani.
Kwani fundi simu, computer au garage akiiba kifaa kizima kwa gari yako au simu au computer ukipeleka wapi?
 
Hizi habari za nyota kumbe watu hawazijui kabisa!!

Hata yale machawi ya jamiiforums yameshindwa kueleza nyota ni nini na inaibiwaje!!

Fix tupu
Mimi ni mvivu wa kuandika ila nishakwambia nyota haiibiwi maana nyota ni malaika au jini linalomuongoza mtu au kumlinda na hii ni automatic tu kulingana na maagano yako pale ulipozaliwa wazazi wako walikuwa upande upi wa Mungu au waovu, na hili lilifanyika kwa vizazi vya zamani mtoto anapozaliwa walimfanyia maombi kwa malaika wake amulinde na kumuongoza na familia za kichawi nazo walikabidhi kwa jini wa nyota hiyo hiyo maana nyota ya siku Ina watu wawili wa kuiongoza malaika na jini Sasa mtu anachagua yupi awe mwelekeo wake Sasa hapo mtu ataibaje nyota ya mtu? Kinachopotezwa kwa mtu ni zile nguvu alizopewa na malaika wake yaani fortune ya mtu au bahati mtu kwa uchawi au wewe mwenyewe au kwa watu wa maarifa kukuzidi wanajisogeza karibu na wewe kujua bahati zako zipo wapi Ili wazizime na wewe usiendelee kuwatishio kwao au kukukomoa kama Samson alivyonyolewa nywele na ile bahati yake ya kuwa na nguvu nyingi ikaondoka, wachawi wao wanamaarifa yao ya kudhuru mtu, na wewe mwenyewe unaweza kujiweka mbali na nyota yako kwa tabia mbaya nyota yako isizozipenda, ila Sasa kizazi kinachozaliwa Sasa wengi walipozaliwa hawana maombi yoyote maalumu ya muelekeo wa ulinzi wao na tunuku zozote ndo maana hawaeleweki nini cha tofauti wanacho zaidi ya maarifa wanayotafuta kwa kupitia shule na maisha ya mtaani bila nguvu za ziada hivyo kuibiwa nyota haiwezekani ila unapotezewa bahati ulizotunikiwa wakati unazaliwa.
 
Hakuna nguvu yeyeto yenye uwezo wa kubadili alichokiumba Mwenyezi Mungu yeye ndie nguvu kuu kuliko zote,ukijifunza kuhusu mambo ya spiritual power.
Hii sayansi ya mazingaombwe sipo nayo deep Sana but ni kundi la uchawi wa kufanya miujiza ni kama michezo ya kupumbaza akili,zipo aina nyingi za mazingaombwe utegemea na mhusika anataka kuitumia wapi mfano kanisani, kwenye maonyesho,nk kwa malengo gani.
Kwahiyo Farao yule wa 40 aliyetumikisha Waebrania kule Misri Wachawi wake na Wanamazingaombwe wake walishindanisha miujiza yao dhidi ya ile ya Musa kwa uweza upi? Wa Mungu yupi? Maana umesema ni Mungu pekee ndiye awezakubadili alichokiumba, lkn maandiko yako wazi kuwa wale wa Farao nao walifanya miujiza ya kubadili, sasa kwa nguvu ya nani?

Hili somo gumu na tata!
 
Ni mara kadhaa sasa nimekuwa nikisikia kuhusu habari za nyota.

Hii nyota ni kitu gani haswa? Kwa mfano ukienda kwa mganga anaweza kuiona? Kwa namna gani?

Wengine husema nyota ni vipaji? Hivi vipaji vinaweza kuonekana kwa namna gani na wachawi?

Ni kitu kinachoweza kuonekana umbo lake?

Wachawi wanaibaje nyota? Wanaifanyaje fanyaje mpaka itoke kwako iende kwao?

Wakishaiiba wanaiweka wapi? Wanaipeleka wapi? Kwa ajili ya nini? Wanaweza kuitunza mahali labda? Ni kitu kinachoweza kuhamishika?
Nyie akina mshana mkujee
 
Hakuna nguvu yeyeto yenye uwezo wa kubadili alichokiumba Mwenyezi Mungu yeye ndie nguvu kuu kuliko zote,ukijifunza kuhusu mambo ya spiritual power.
Hii sayansi ya mazingaombwe sipo nayo deep Sana but ni kundi la uchawi wa kufanya miujiza ni kama michezo ya kupumbaza akili,zipo aina nyingi za mazingaombwe utegemea na mhusika anataka kuitumia wapi mfano kanisani, kwenye maonyesho,nk kwa malengo gani.
Huyu mbona kabadilishwa na binadamu toka jinsi alivyoumbwa na Mungu? Kwahiyo binadamu anawezakubadili alichoumba Mungu.

1639483624603.png

Taswira kwa hisani ya JF Photos.
 
Back
Top Bottom