Mbinu hii Warusi waliwahi itumia walipovamiwa na Napoleon Bonaparte, walipiga viuagugu kwenye majani farasi wakafa njaa wakafunga njia no water and food supply walikufa kama nzi yaani kweli una akili timamu unapigana na URUSI unaingia ndani ya URUSI huku unakenua kenuaSasa hao waukraine waliopo kursk wanafanya nini si watakufa tu kwa njaa hawana supply yoyote ya chakula maji wala silaha wanatakiwa kujisalimisha au kufa njaa