Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Kampuni gani
kwenye kampuni nayobetia mm zinafanana,na naamini hata huko hazitapishasa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye kampuni nayobetia mm zinafanana,na naamini hata huko hazitapishasa sana
Jana ilikua flash scoreKampuni gani
Flash score ni kampuni ya kubet?Jana ilikua flash score
Kwahiyo ukaona Simba wamempa ngani kwenye hiyo flash score yako na Yanga ngapi?Jana ilikua flash score
Jana wote walipewa 2.40,leo yanga 2.39,zote ni odds za nuksiKwahiyo ukaona Simba wamempa ngani kwenye hiyo flash score yako na Yanga ngapi?
upo wapi ndugu?Flash score ni kampuni ya kubet?
Odds za nuksi wapi weweJana wote walipewa 2.40,leo yanga 2.39,zote ni odds za nuksi
Tukutane saa 5 usiku baada ya mechi mkuuOdds za nuksi wapi wewe
Inawezekana sio mtu wa kubet wewe, flash score sio kampuni ya kubet. Ila ukiwa kwenye site ya flash score, unapoenda upande wa odds wanakuonesha odds kutoka kwenye makapuni ya kubeti ya betway na 1Xbet. sasa kama ungekuwa mtu unayebet ungeweza kujua hilo jambo dogo tu. Ni ajabu kama akaunti yako ya kubet umefungulia flash score, wewe hujui kitu kwenye maswala ya kubeti.upo wapi ndugu?
unaishi dunia hii?
Umezowea kubetia wasafibet tu eeh?
saa 3 usiku sio mbali,muda utaongea
Odds zisizo na nuksi ni zipiTukutane saa 5 usiku baada ya mechi mkuu
Uzuri wake usiku wa deni haukawii kucha
Kwa hiyo hzo odds zilizopo kwenye flash score wanajitungia tu bila kuangalia market inasemaje?Inawezekana sio mtu wa kubet wewe, flash score sio kampuni ya kubet. Ila ukiwa kwenye site ya flash score, unapoenda upande wa odds wanakuonesha odds kutoka kwenye makapuni ya kubeti ya betway na 1Xbet. sasa kama ungekuwa mtu unayebet ungeweza kujua hilo jambo dogo tu. Ni ajabu kama akaunti yako ya kubet umefungulia flash score, wewe hujui kitu kwenye maswala ya kubeti.
Nazitoa kwa makubalianoOdds zisizo na nuksi ni zipi
Odds zipo kwenye betway na 1xbet. Flash score sio kampuni ya betting.Kwa hiyo hzo odds zilizopo kwenye flash score wanajitungia tu bila kuangalia market inasemaje?
Jibu swali,odd zilizopo huko zinatofautiana na za huko unapolazimisha sote tubetie huko?Odds zipo kwenye betway na 1xbet. Flash score sio kampuni ya betting.
simba alizidishiwasi umeona simba ameshatoboka,ndio odd hyo hyo kama ya yanga
Odds zilizokuwa kwenye kampuni zipi? Weka swali lako vizuri kwasababu huko juu umesema flash score ni kampuni ya kubet.Jibu swali,odd zilizopo huko zinatofautiana na za huko unapolazimisha sote tubetie huko?
kwa hyo wewe unavyojua flashscore huwezi kubet?Odds zilizokuwa kwenye kampuni zipi? Weka swali lako vizuri kwasababu huko juu umesema flash score ni kampuni ya kubet.
Baadae alishushiwa hadi 2.40simba alizidishiwa
Huwezi kubet kwasababu sio mtandao wa kubet bali wa kutoa matokeo na habari za michezo ni sawa na goal.com, live score, n.kkwa hyo wewe unavyojua flashscore huwezi kubet?