Wacheza kamari hivi mnajua Yanga kapewa odds ndogo dhidi ya Mamelodi, kuna ishara gani hapa?

Wacheza kamari hivi mnajua Yanga kapewa odds ndogo dhidi ya Mamelodi, kuna ishara gani hapa?

upo wapi ndugu?
unaishi dunia hii?
Umezowea kubetia wasafibet tu eeh?
saa 3 usiku sio mbali,muda utaongea
Inawezekana sio mtu wa kubet wewe, flash score sio kampuni ya kubet. Ila ukiwa kwenye site ya flash score, unapoenda upande wa odds wanakuonesha odds kutoka kwenye makapuni ya kubeti ya betway na 1Xbet. sasa kama ungekuwa mtu unayebet ungeweza kujua hilo jambo dogo tu. Ni ajabu kama akaunti yako ya kubet umefungulia flash score, wewe hujui kitu kwenye maswala ya kubeti.
 
Attachments

  • IMG_20240330_075825.jpg
    IMG_20240330_075825.jpg
    294.3 KB · Views: 3
Inawezekana sio mtu wa kubet wewe, flash score sio kampuni ya kubet. Ila ukiwa kwenye site ya flash score, unapoenda upande wa odds wanakuonesha odds kutoka kwenye makapuni ya kubeti ya betway na 1Xbet. sasa kama ungekuwa mtu unayebet ungeweza kujua hilo jambo dogo tu. Ni ajabu kama akaunti yako ya kubet umefungulia flash score, wewe hujui kitu kwenye maswala ya kubeti.
Kwa hiyo hzo odds zilizopo kwenye flash score wanajitungia tu bila kuangalia market inasemaje?
 
Jibu swali,odd zilizopo huko zinatofautiana na za huko unapolazimisha sote tubetie huko?
Odds zilizokuwa kwenye kampuni zipi? Weka swali lako vizuri kwasababu huko juu umesema flash score ni kampuni ya kubet.
 
kwa hyo wewe unavyojua flashscore huwezi kubet?
Huwezi kubet kwasababu sio mtandao wa kubet bali wa kutoa matokeo na habari za michezo ni sawa na goal.com, live score, n.k
Embu onesha akaunt ya kubet ya flash score ipoje?
 
Back
Top Bottom