Abubakari mkangwa
Salihina mjengwa
Athuman Machupa
Abuu mtiro
Lubigisa Madata Lubigisa
Hilary Echesa
Ali Mohammed SHIBOLI.Pale Mtibwa Sugar, kuna nahodha kiongozi Shaban Nditi. Amecheza soka la kiwango cha juu kwa muda mrefu bila kuchuja. Amedumu sana kwenye soka la ushindani hapa Bongo.
Ukifika kwenye kikosi cha Kagera Sugar wanankurukumbi, utakutana na George Kavila Master. Ni karibia miaka 20 sasa anacheza ligi kuu ya Tanzania. Ni moja kati ya wachezaji wakongwe na wenye nidhamu ya hali ya juu ndani na nje ya uwanja.
Lakini habari ni tofauti kwa baadhi ya wachezaji wengine. Kuna wachezaji wa kibongo waliovuma kwa muda mfupi kisha wakapotea kabisa katika ramani ya soka.
Leo, tujikumbushe list ya wachezaji hao.
Mimi naanza na hawa wafuatao...
Rashid Gumbo
Said Bahanuzi
Jerry Tegete
Endelea na wewe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mwamba alikuwa hatari pale Zanzibar kombe la musonye way back 1992Damian Mrisho Kimti
Najua Watoto nimewaacha Kwenye flyover ya Tazara
Yupo bongo mpaka mda huu alikuwa mwalimu wa kifaransa shule za mama wa mlima wa moto
Karume Songoro
82 rangers
Later on muweke shekhan Rashid simbaJohn Thomas Masamaki alicheza kwa kiwango kikubwa Mtibwa kisha akachez a kidogo Simba! Sijui yuko wapi huyu mwamba!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza Shekhan Rashid hapo alichota penalty kwenye maji akatia nyayani rip siang'aUnanikumbusha viumbe kama Boniphace Pawasa, Emmanuel Gabriel, Suleiman Matola, kocha James Siang'a, daa walikuwa ni moto wa kuotea mbali aise
Sent using Jamii Forums mobile app
At human ChamaAbubakari mkangwa
Salihina mjengwa
Athuman Machupa
Abuu mtiro
ELEWA topic / threadKiungo wa kiingereza niliyekuwa napenda kumtazama japo majeraha yaliharibu kipaji chake.
Ni kama Kieron Dyer, muingereza mwingine mwenye miguu ya plastic
Paul John Masanjamwaikimba
Nilisikia keshatutoka huyo.John Thomas Masamaki alicheza kwa kiwango kikubwa Mtibwa kisha akachez a kidogo Simba! Sijui yuko wapi huyu mwamba!
Sent using Jamii Forums mobile app