toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
How many trophies do he have!!!talk with fact bro na how many individual awards he got? Ukijibu utakuwa umejuw how is he a [emoji238][emoji238][emoji238]
Unataka trophies gani tena ? Why do you guys hate this man to this extent ? Do you think he landed five balondors just like that ? and he is going for the six one...jaman punguzen roho ya wivu na vitu kama hivyo, mpira unachezwa popote aisee...Mnataka afanyaje ?
Ilikuwa ni Kombe la Dunia la mwaka 1962 ambapo michuano ilipigwa pale Chile, mechi ya kwanza tu Pele anaumia. Garrincha anaibeba Brazil kwenye makwapa yake mpk fainali ambapo Pele ndio anarejea.
Na kudhihirisha hilo, Garincha ndio akawa Mchezaji bora wa mashindano. Sema tu dunia haijawahi kumtambua Garincha licha ya kusifiwa na kuchukuliwa kuwa mmoja wa wakokota mpira bora zaidi katika historia ya mchezo huo.
watu majeuri tu hakuna mchezaji anamzid Mess individual awards, yan hayupo wanasahau kwamba hata huyo ronaldo kaenda spain kaupiga ten years lakin combe la spain kauchukua mara mbili tu muda wote huwa Messi kadominate, ujue hapo watu wanahate sababu Messi namba moja Ronaldo namba mbili, basi tu huwa hawataki amzid ronaldo ila ndio kamzid sasa wafanyaje wanaanza kuhate
Mkuu tuweke porojo pembeni, hayo mafanikio tuweke kando kwanza mie binafsi napenda kumjaji mtu kwa kile anachokifanya mchezaji uwanjani..
Swali fupi.
Katika miaka 25 ni nani unaona uwanjani anaupiga mwingi kushinda ule wa andunje messi
Kote kote..Anaupiga mwingi akiwa anachezea timu gani? Ya taifa au klabuni kwake...hebu tuanzie hapo kwanza.
Hayupogo hata kwenye wafungaji 5 Bora wa world cup sijui alikuwaga anacheza nn au alikuwa beki?Kacheza santos alafu wanamringanisha na Messi ambai amekuwa bora kwa miaka 11 na zaidi [emoji23][emoji23][emoji23]
Eti ana 3 world cup wakt ile ilikuwa ni tim work, 1963 kama ckosei hakucheza baadhi ya mechi mpaka final brazil inachukua ubingwa pele hakucheza.
Itakuwa hauna akili timamu Baba ake alikuwa goalkeeper wa sub awekwe Kwa kigezo gani busquets aliyemuhamisha namba Alonso Spain ni huyu huyu kiungo mkaji mwenye udambwi dambwi dunia nzimaHv ni Busquet baba yake au huyu kijana anaecheza mpaka sasa?.. kama ni huyu wa sasa tuache mahaba hafai kuwepo.
Kuna Seedorf, Makelele, Nedved, Okocha, Carlos.
Hayupogo hata kwenye wafungaji 5 Bora wa world cup sijui alikuwaga anacheza nn au alikuwa beki?
Messi sio mchezaji bora, kigezo hajaibeba mgongoni Argentina kwenye kombe la dunia kama anavyoibeba Barcelona, hivyo hivyo kwa Christiano ronaldo
Hawa ndio bora siku zote
Pele
Garincha
Maradona
Ronaldo de Lima
Zidane
Ronaldinho
Romario
Robato baggio
Iniesta
Ngolo Kante
Orodha ni ndefu kigezo kuzibeba team zao za taifa hadi kutwaa kombe la dunia
Kote kote..
Najua we umelenga national team
Kapitie rekod zake national team..
Kawabeba waargentina lakin hawajabebeka, kombe la dunia 2018 kawababeba kwenye mabega yake kawapeleka kilichotokea ni hadithi kocha kafanya matipu tu, mafanikio ya team si mchezaji mmoja.. Kuna kipindi hata barca kocha anawaangusha, argentina wana tatizo jingine lakini sio messi kusema haupigi mwingi kule, akicheza vizuri wanamuimba timu ikifeli wanamkataa ni kama ozil na wajeruman akicheza vizur mjeruman, timu ikifeli ooohh, mturuki.
Kawapeleka fainal ya kombe la dunia mara moja
Copa america huko amecheza fainali 3 ile ya venezuela 2007 na hizi mbili mfululiz wanakufa kwa penati kwa vijan wa chile.
Rekod ya magoli si haba goli 65 kati games 129 hapo ana wastani wa kufunga goli moja katika kila mechi 2
Kifupi messi kaupiga mwingi kote ila timu ya taifa hajapata mafanikio, ubora na kunyanyua kombe ni vitu viwili tofauti.
Maradona hakuwa pekee yake alikuwa na jorge valdano kina burruchaga na wengineoVipi kuhusu Diego Almando Maradona alikuwa peke yake sio?....kikosi cha Argentine wakati ule kinafanana na cha sasa wakati wa Leonel Messi? Kipi bora zaidi na kipi kilileta mafanikio makubwa zaidi na kwa msaada wa nani?
Majibu ya maswali haya kaa nayo maana kama ya ukweli basi ninayo na siyahitaji.
Ahsante.
Gigs je?
Huo mtandao unatungwa na watu kama mimi, pia hayo ni maoni yaoNi maono yako hayo siwezi kukuraumu, ila tunachoamini sisi mashabiki wake na ndicho FIFA n.k wanachokiamini. endelea kuteseka
View attachment 1103810
Uyo de lima kashika mkia, hata ivyo wamemhurumia tu. Hakupaswa kuwemo top 10 jombaa.
Gaucho unaemusifia ata kwa tochi humpati top 10jombaa
Ronaldo hastahili..? Ila XAVI+INIESTA ndio wanastahili sio?
Kumkataa CR7 ni sawa umkatae Messi.. Toa mapenzi weka uhalisia.