makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Hahaa!! Kabisa jamaa yangu.Hizo achievment anazoziongelea jamaa zina mfavor sana giroud. Unajua ukishamchukia mtu lazima umtafutie sababu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa!! Kabisa jamaa yangu.Hizo achievment anazoziongelea jamaa zina mfavor sana giroud. Unajua ukishamchukia mtu lazima umtafutie sababu tu.
Naona mnatizama makombe tu!! Simkatai cr7 ila msimletee dharau andunje.. Hesabu medali za national team!! Ronaldo na timu yake kacheza fainali moja tu, messi anaedhihakiwa kacheza fainali 4(3)Sasa kamzid kisa umeona hako kalist au?
Ndani ya hiyo miaka 9 Ronaldo akiwa la liga kabeba uefa ngapi na Messi kabeba ngapi?
Ndani ya hiyo miaka 9 Messi kashinda taji gani na timu yake ya taifa compared na Ronaldo
Halafu unaposema individuals trophies huku hajawahi vaa uzi mwengne tofauti na wa Barca na akivaa mwengine basi ni wa Argentina ambako hana hata kikombe cha kuku halafu unasema anaongoza magoli mengi kufunga national team, jiulize anafunga wakati gani? why awe na magoli mengi argentina with no trophy?
2018 argentina yote ilikuwa mbovu na ubovu ulioletwa na kocha sio andunje!! Vipi umpe lawana messi wakati timu lote lilikuwa bovu.Sasa unasema kawabeba wakina nani? yeye sio muargentina? sote tuliona performance ya ovyo aliyoonyesha worldcup 2018 wala hakuna alichofanya cha kufanya tumsifie yeye tuwalaumu wenzake wote uwezo wao uliendana na ulikuwa wa ovyo hadi kupelekea timu kuingia 16 bora kwa mbinde na kutolewa pia kwa aibu
Kumbe messi na ronaldo huwa wanajipasia wenyewe mpaka golini.hapa kila mtu ana mtizamo na mchezaji wake mwenyewe.Haishangazi kuitana wachambuzi uchwara.Kacheza santos alafu wanamringanisha na Messi ambai amekuwa bora kwa miaka 11 na zaidi 😂😂😂
Eti ana 3 world cup wakt ile ilikuwa ni tim work, 1963 kama ckosei hakucheza baadhi ya mechi mpaka final brazil inachukua ubingwa pele hakucheza.
Wakati mwingine mjadiliane kama mlio balehe.Mtu atamwonea wivu messi ili apate nini?kumbukeni kila macho yana uoni wake na kila moyo una chaguo lake na si kila mtu atapenda kijani.mnachofanya ni iulazimishana mitazamo.Chukulieni huu kama mjadala tu.Acheni unafiki wa kitanzania.Wivu unawatesa hawa
Na fifa ndio mume mkuu wa mpira.Wote sema pelle.Huo mtandao unatungwa na watu kama mimi, pia hayo ni maoni yao
Kwa FIFA Pele ndio kila kitu, akifatiwa na maradona.
Hao for for two ni watu kama wewe na maoni yao
Hapa ukiulizwa kuhusu kuona live kwenye swala jingine utarauka.Wakija watu wakakuuliza dini yako utasema muislam au mkristu je umewahi kuwaona yesu au muhamad.Wakati wewe hukumuona pelle wengine walimuona.Hatuwezi kuacha kujadili sababu wewe hukuwepo.Utamkubali vipi mtu ambae hujawai kumshuhudia live!! Nikikuuliza utaniambia umemcheki youtube.
Waswahili tuna safari ndefu sana.
Mkuu hata mimi ni mpenzi wa pele ila siku nyingine jaribu kusoma maelezo kwanza..
Hapa wametajwa wachezaji bora ndani ya miaka 25 iliyopita.
www.starecta.com
Kama mesi ulimwangalia dk 90/ uwanjani, hata Pele nimemcheki dk 90/ uwanjani huko you tube ulikosema kuna full match za timu ya taifa ya Brazil enzi hizo.Utamkubali vipi mtu ambae hujawai kumshuhudia live!! Nikikuuliza utaniambia umemcheki youtube.
Waswahili tuna safari ndefu sana.
Mbona ureno ilibeba euro ikiwa mbovu tu? sasa kama mchezaji bora unashindwa kweli kuonyesha individual skills kuibeba timu na kusingizia eti anaocheza nao wabovu huu ni upuuzi basi tuamini hawezi kucheza timu nyingine tofauti na Barca na pengine hata Uefa hao Barca wasinyakue tena kwa kumtegemea Messi kwani nae anataka wachezaji wa viwango vikubwa awategemee ili yeye aonekane bora (eg. Xavi & Iniesta)2018 argentina yote ilikuwa mbovu na ubovu ulioletwa na kocha sio andunje!! Vipi umpe lawana messi wakati timu lote lilikuwa bovu.
Matusi ya nini wewe fala..Itakuwa hauna akili timamu Baba ake alikuwa goalkeeper wa sub awekwe Kwa kigezo gani busquets aliyemuhamisha namba Alonso Spain ni huyu huyu kiungo mkaji mwenye udambwi dambwi dunia nzima
Mviziaji mwenye Uefa 5, D'or 5, Euro, Top scorer Uefa... Unaleta mahaba ya hovyo mkuu.Usiwalinganishe Iniesta na Xavi na kiviziaji.
Hawa watu wana sababu za hovyo... Timu ya Messi, di maria, aguero, maxi, zabaleta, otamendi, rojo, higuain, mascherano, dybala n.k unasema ni mbovu?Sio kweli Argentina haijawa na kocha mmoja tu zama hizi za messi haiwezekani wote waite kikosi kibaya au wapange ovyo ili timu ikose vikombe
Timu inafika hadi fainal copa america mchezaji anapaisha penati (mnazi) kwahiyo tumlaumu kocha kwanini alimpanga apige tuta??
Mkuu kama kigezo ni kombe la dunia mbona hujamuweka POGBA, VARANE, MBAPPE, GIROUD, GRIEZMANN, OZIL, KROOS, MULLAR N.KMessi sio mchezaji bora, kigezo hajaibeba mgongoni Argentina kwenye kombe la dunia kama anavyoibeba Barcelona, hivyo hivyo kwa Christiano ronaldo
Hawa ndio bora siku zote
Pele
Garincha
Maradona
Ronaldo de Lima
Zidane
Ronaldinho
Romario
Robato baggio
Iniesta
Ngolo Kante
Orodha ni ndefu kigezo kuzibeba team zao za taifa hadi kutwaa kombe la dunia
Mviziaji mwenye Uefa 5, D'or 5, Euro, Top scorer Uefa... Unaleta mahaba ya hovyo mkuu.
Bora uongelee mwingine sio Ronaldo.C,NArejea tena. Iniesta na Xavi hawa majamaa ni ulimwengu mwengine kabisa kwenye football kwa last 12years. Jamaa walimnyanyasa kila aliyojitokeza karibu. Huwezi walinganisha na mtu anaesubiria krosi au kipa akitema.