Wachezaji wa Kibongo waliong’aa kwa muda mfupi na kupotea

Wachezaji wa Kibongo waliong’aa kwa muda mfupi na kupotea

Kama ni mkubwa kidogo utamkumbuka kwamba 1 alicheza yanga... mpka anaitwa kiboko yap anaitwa SAID SWEEDY SCADY.. kati 1992-93 alidum kwa msim1 tu akajivuna kwamba bila yey
Yanga haiwezi kumfunga simba.. aha Wazeee wakamtoa... ni mwamba wa tabora ... cjui hyo jamaa yupo wap
 
1. Wilfred kidau (Simba 1998) akaacha na mpira mazima.

2. Akida Makunda ( Yanga 1998) akaacha mpira.

3. Godfrey Osama (pamba & Yanga 1999)
4. George Magogo (Simba 1999)
5. Kimwine Mwita-Simba 2000
6.Banza Tshikala-Yanga
7.AMiri Maftah-Yanga,Simba
8.Salum Machaku-Simba 2011
9.Patrick Batwell-Mtibwa Simba 2003
10.Hamis yusuf-Waziri wa ulinzi
11.Sekelo Barbara-Simba 2000
12.Waziri Mahadhi (Yanga 2001)
13.Rajab Masale (Maji Mara,Yanga 1998)

Source:
Ni mimi mwenyewe au Magazeti ya wakati huo.
Haya mambo Internet huyakuti..
Hata ungekesha.
Hamisi Yusuph alicheza hadi APR
 
Huyu ni mpuuzi kama wapuuzi wengine,alikataa ofa ya axam ,simba na yanga leo yuko pamba,magooli yenyewe aliyokuwa akifunga akiwa geita gold ni ya ajabu ajabu mara mpira umemgonga unaingia wavuni
 
1. Wilfred kidau (Simba 1998) akaacha na mpira mazima.

2. Akida Makunda ( Yanga 1998) akaacha mpira.

3. Godfrey Osama (pamba & Yanga 1999)
4. George Magogo (Simba 1999)
5. Kimwine Mwita-Simba 2000
6.Banza Tshikala-Yanga
7.AMiri Maftah-Yanga,Simba
8.Salum Machaku-Simba 2011
9.Patrick Batwell-Mtibwa Simba 2003
10.Hamis yusuf-Waziri wa ulinzi
11.Sekelo Barbara-Simba 2000
12.Waziri Mahadhi (Yanga 2001)
13.Rajab Masale (Maji Mara,Yanga 1998)

Source:
Ni mimi mwenyewe au Magazeti ya wakati huo.
Haya mambo Internet huyakuti..
Hata ungekesha.
Amri naftah amecheza jwa muda mrefu kidogo,so mtoe humo
 
Back
Top Bottom