Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Follower wangu .Chai
Endelea kunifatilia nitakuja na nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Follower wangu .Chai
Bahanuzi alilogwa na Utopolo baada ya kukosa penati muhimu kule Misri.Naanza na Said Bahanuzi, Salim Ayee.
Endelea na orodha…
TelelaNaanza na Said Bahanuzi, Salim Ayee.
Endelea na orodha…
Huyu mwingineTelela
Atupele Green
Mlipili
Abuubakar Kambi
Kabwil
Chacha Marwa
Huyu jamaa alikiwasha sana na ile mbeya City ya moto 2013/2014 nilisikia jamaa ni mwalimu kitaaluma baada ya ule msimu kuisha aliacha soka na kurudi shule kujiendeleza... Kwa sasa ni meneja wa Mbeya city inayojitafuta pale championship...Mwagane Yeya
Nasikia analima kwao huko morogoro sijui iringaDitram Nchimbi
Wote tunakubakiana mpira haulipiHuyu jamaa alikiwasha sana na ile mbeya City ya moto 2013/2014 nilisikia jamaa ni mwalimu kitaaluma baada ya ule msimu kuisha aliacha soka na kurudi shule kujiendeleza... Kwa sasa ni meneja wa Mbeya city inayojitafuta pale championship...