Wachezaji wa Kibongo waliong’aa kwa muda mfupi na kupotea

Kama ni mkubwa kidogo utamkumbuka kwamba 1 alicheza yanga... mpka anaitwa kiboko yap anaitwa SAID SWEEDY SCADY.. kati 1992-93 alidum kwa msim1 tu akajivuna kwamba bila yey
Yanga haiwezi kumfunga simba.. aha Wazeee wakamtoa... ni mwamba wa tabora ... cjui hyo jamaa yupo wap
 
Hamisi Yusuph alicheza hadi APR
 
Huyu ni mpuuzi kama wapuuzi wengine,alikataa ofa ya axam ,simba na yanga leo yuko pamba,magooli yenyewe aliyokuwa akifunga akiwa geita gold ni ya ajabu ajabu mara mpira umemgonga unaingia wavuni
 
Amri naftah amecheza jwa muda mrefu kidogo,so mtoe humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…