Wachezaji wa Kigeni wa Kubakia Simba SC kwa Jicho langu Kali la Kiufundi baada ya Kufurumushwa rasmi na Orlando Pirates FC jana ni hawa tu....

Wachezaji wa Kigeni wa Kubakia Simba SC kwa Jicho langu Kali la Kiufundi baada ya Kufurumushwa rasmi na Orlando Pirates FC jana ni hawa tu....

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
1. Joash Onyango
2. Henock Inonga
3. Clatous Chama
4. Pape Ousmane Sakho
5. Bernard Morrison
6. Peter Banda

Ambao sijawataja hapa waachwe upesi sana Msimu wa Ligi Kuu ya NBC ukimalizika tafadhali kwani hawana Jipya, hawa Msaada kwa Timu na Wameshachoka.

Sina desturi ya Kukosea Kiuchambuzi.
 
Hiyo takataka Sakho irudishwe kwao, game 2 tatu anaona kama timu iko mabegani mwake, anaigharimu mno timu yake kwa chenga au kukaa na mipira bila sababu za msingi.

Kwa jinsi wanavyocheza Yanga, Kwenye nafasi ya Moloko akipatikana BWALYA nina imani atafit sana kwenye aina ile ya uchezaji wa Yanga.
 
Huyo dogo hata mm nimeanza kuto mwelewa kabisa ni mbinafsi Sana alafu analazimisha ufalme kinguvu pale Simba kitu ambacho naona kinaenda kuigharim timu
 
1. Joash Onyango
2. Henock Inonga
3. Clatous Chama
4. Pape Ousmane Sakho
5. Bernard Morrison
6. Peter Banda

Ambao sijawataja hapa waachwe upesi sana Msimu wa Ligi Kuu ya NBC ukimalizika tafadhali kwani hawana Jipya, hawa Msaada kwa Timu na Wameshachoka.

Sina desturi ya Kukosea Kiuchambuzi.
Inonga na Morrison usha wahi kuwakataa kwenye ID yako nyingine
 
Level za sasa ni kushindana kimataifa, watu kama Sakho wanahitaji kupewa Saikolojia nzuri ili ajue anapocheza ni kwa manufaa ya Timu na sio yake, na ndio maana inaitwa TIMU.
Mchezaji pekee anayeweza kuja kucheza nje siku moja ni Sakho hakuna mwingine Simba. Huyu anahitaji mwalimu mzuri ila ndio kipaji pekee unaweza siku ukasikia yuko nje.
 
Back
Top Bottom