momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,013
- 2,089
Kuna kipindi mtu unapata tabu sana kuielezea Simba na uchezaji wake na wachezake wake kwasababu ya kubadilika badilika kwa performance yake.
Ila kwakua Simba ina malengo ya ndani na nje inabidi kuweza kufanyia kazi mambo kadhaa, nikianza na golini nafikiri ni muda sasa wakumtafutia Manula mshindani wake halisi, goalkeeper wa kisasa mwenye footwork nzuri, commanding na comfortable akiwa na mpira ambae kwa falsafa ya kiuchezaji ya Simba anakua na uwezo wa kuanzisha build up.
Kwenye eneo la ulinzi,beki za pembeni kunahitaji wasaidizi washindani ama wenye uwezo utakaofanana na waliokuwepo,kitu ambacho kitaongeza ari ya kiuchezaji.nafikiri kwa afya ya mashindano ya ligi za kimataifa Gadiel na Mwenda bado hawatoshi kiushindani.
Beki ya kati vilevile,Wawa na Onyango bado ni mabeki wazuri ambao wanaweza kutusaidia kwenye mshindano ya ndani ila kwenye caf champions leagues games bado wameonekana kukosa ubora sana,
Wawa ana footwork nzuri ni good passer
na ana timing kali sana katika kuwin mipira
Ila ni mvivu wa kukaba,haendi juu sana mtegeaji na ni mtu wa kuelekeza zaidi,Onyango hana footwork nzuri na si mpasiaji mzuri pia ni mzito ubora wake mkubwa ni aggressiveness anajua kukaba,anasaidia sana mipira ya vichwa sio mvivu.Kennedy hatoshi anafanya vitu vyote hivyo kwa wastani huwezi kusema ni mbora kwenye Nini na comfortable bado ni mzito.
Nafikiri mabeki wawili wakati wanatakiwa mgeni mmoja mwenye uwezo wa angalau asilimia 80 ya sifa zote na mwenyeji mmoja atakaempokea Kennedy ambae awe na asilimia angalau 75 ya sifa zote urefu unabaki kua sifa ya ziada.
Kwenye midfield nafikiri sasa ni wakati wa kuwaruhusu Mzamiru,Nyoni, na kuwatafutia mibadala wazawa,Bwalya na lwanga kama wageni,Kanoute ni mchezaji mzuri aliekosa maarifa yani hana wonders,hawezi kupiga pasi kali na sio mjanja mjanja ila anaweza kukuofa commitment,and energy ni bodi yenyewe itaamua abaki au aende.
Viungo wa pembeni Dilunga nafikiri bila injuries hua anaweza kusaidia kidogo angalau kuliko huyu Kibu ambae amekosa maarifa kabisa nafikiri mwalimu amhamishe nafasi kucheza pembeni kunamtaka mtu tricky na mwenye maarifa na yeye hayuko hivyo labda aanze kucheza kwenye central position.
Nafikir Banda anakosa nguvu ya kupambana ni mchezaji aina ya Walcott wanahitaji space kubwa kuweza kucheza kwa ufanisi mkibana space mambo yanakua magumu,kama atapatikana winger mwenye sifa za Morrison ambae sio mvivu sivibaya kumimuachia.
Sacko ni childish and selfish anajua sana ila anacheza zaidi kwa faida take ila kipaji kikubwa sana anaweza kupatiwa mwaka mmoja ila wapatikane watu ambao watamfanya akae benchi hapo nahisi atabadilika.
Forward lines, striker's.nafikiri Mugallu inatosha,tunataka striker's ambao wanauwezo wa kutumia nafasi zinazopatikana,kama ni mimi nafikiri hata Bocco ningempa mkono wa kwaheri kwa afya ya kimataifa,Striker mmoja mgeni mwenye uwezo wa kucheka na nyavu na kukaa na mpira anahitajika.na striker mmoja wakitanzania mwenye footwork nzuri na awe poacher.
Lusajo. Namungo
Mpole. Geita
Anwar jabir. Dodoma jiji