Wachezaji wa Kigeni wa Kubakia Simba SC kwa Jicho langu Kali la Kiufundi baada ya Kufurumushwa rasmi na Orlando Pirates FC jana ni hawa tu....

Wachezaji wa Kigeni wa Kubakia Simba SC kwa Jicho langu Kali la Kiufundi baada ya Kufurumushwa rasmi na Orlando Pirates FC jana ni hawa tu....

Nadhani umenielewa sisi kimpira tukisema nje maana ni nje ya continent la Africa, league za ulaya tunasema nje japo sio kiswahili fasaha lakini lugha ya mpira nje ni league za Ulaya.
Yaan yule akacheze Ulaya??
 
Utopolo kuwafunga Geita gold ndio wanaona wameshamaliza kila kitu,wamesahau juzi tu walipigwa nje ndani ni timu ya wavuvi wa Nigeria
Shushia maji ya kunywa ya bariiidi, maana bado kipigo cha mmbwa koko toka kwa O' Pirates kule kwa madiba kinakuchanganya [emoji28]
 
Yaan yule akacheze Ulaya??
Kwanini asicheze? Kumbuka hii iko siku utafungua Ulaya kubwa sio lazima akacheze team kubwa kwenye nchi kubwa ila nakuhakikishia siku utakumbuka. Kuna mtu alipita kama huyu siku za nyuma Shaaban Nonda kama sikosei tunajuwa aliishia wapi. nacho sema ni mchezaji pekee kwenye team hii anaweza kwenda Ulaya siku moja anaweza asiende inategemea na wakala au watu wake ila kwa team yote ya Simba nitajie mchezaji mmoja ana pontetial labda anaweza kuishia huko. Mimi nasema Sakho wewe unaweza kusema unayemuona wewe.
 
Sakho hata hapo YANGA hapati Namba.
 
Sakho hata hapo YANGA hapati Namba.
Sasa unaleta ushabiki mimi sijaongelea Yanga au Simba nimesema Sakho ndio mchezaji pekee namuona ana potential ya kuweza kuwa sehemu nyingine. Anaweza kuwa ana mapungufu lakini kipaji kipo akipata team nzuri mwalimu mzuri kipaji kipo changamoto anataweza kukiendeleza hiyo ndio juu yake Simba ni kama daraja tu kwake na uhakika analijuwa hilo.
 
Simba wote wa hovyo na jumamosi litathibitika hilo.
Hujui deby zilivyo wewe... Barca mbovu juzijuzi iliifunga Real Madrid inayoongoza la liga 4-0. Yanga yenye wachezaji wazuri mno ikiwahi kufungwa 6-0 na Simba. Na Simba mbovu ya kushuka daraja iliwahi kuifunga Utopolo 2-1 na kuwazuia kuchukua ubingwa.
 
Mkuu kama kitu hujui ni bora ukae kimya, Yanga alifungwa 6 baada ya kutokea mgogoro na wachezaji kuondoka kwenda kuunda Pan Africa ikabidi wacheze timu B
 
1. Joash Onyango
2. Henock Inonga
3. Clatous Chama
4. Pape Ousmane Sakho
5. Bernard Morrison
6. Peter Banda

Ambao sijawataja hapa waachwe upesi sana Msimu wa Ligi Kuu ya NBC ukimalizika tafadhali kwani hawana Jipya, hawa Msaada kwa Timu na Wameshachoka.

Sina desturi ya Kukosea Kiuchambuzi.
Nena msimbaz ukawaambie
 
Back
Top Bottom