Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Utopolo kuwafunga Geita gold ndio wanaona wameshamaliza kila kitu,wamesahau juzi tu walipigwa nje ndani ni timu ya wavuvi wa Nigeria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuelewa, ama umetoroka Milembe?Utopolo kuwafunga Geita gold ndio wanaona wameshamaliza kila kitu,wamesahau juzi tu walipigwa nje ndani ni timu ya wavuvi wa Nigeria
Huku ndio kuchanganyikiwaUtopolo kuwafunga Geita gold ndio wanaona wameshamaliza kila kitu,wamesahau juzi tu walipigwa nje ndani ni timu ya wavuvi wa Nigeria
Hapa ni kwao?? Au una maanisha nje ipi??Mchezaji pekee anayeweza kuja kucheza nje siku moja ni Sakho hakuna mwingine Simba. Huyu anahitaji mwalimu mzuri ila ndio kipaji pekee unaweza siku ukasikia yuko nje.
Awana jipya kwako bruh apo umeongea kishabiki zaidi.1. Joash Onyango
2. Henock Inonga
3. Clatous Chama
4. Pape Ousmane Sakho
5. Bernard Morrison
6. Peter Banda
Ambao sijawataja hapa waachwe upesi sana Msimu wa Ligi Kuu ya NBC ukimalizika tafadhali kwani hawana Jipya, hawa Msaada kwa Timu na Wameshachoka.
Sina desturi ya Kukosea Kiuchambuzi.
Kanoute anafaa sana tafakari hilo1. Joash Onyango
2. Henock Inonga
3. Clatous Chama
4. Pape Ousmane Sakho
5. Bernard Morrison
6. Peter Banda
Ambao sijawataja hapa waachwe upesi sana Msimu wa Ligi Kuu ya NBC ukimalizika tafadhali kwani hawana Jipya, hawa Msaada kwa Timu na Wameshachoka.
Sina desturi ya Kukosea Kiuchambuzi.
Babu anataka mikia wampe mzigo wa maana,ndio maana anawajambisha Yanga wanamtakaNilisikia Onyango aligoma kuendelea kubaki Simba Sc. Na kuna klabu kadhaa zimeonesha kutamani huduma yake ikiwemo Yanga
Yanga aje kucheza nafasi ya naniNilisikia Onyango aligoma kuendelea kubaki Simba Sc. Na kuna klabu kadhaa zimeonesha kutamani huduma yake ikiwemo Yanga
Mk 14, abak,Ila ataftiwe msaidizSimba wametia aibu sana ile cku ya mechi ya orlando kwa kuwasha moto wa kichawi.
Hawaogopi mwezi wa toba!
Nadhani umenielewa sisi kimpira tukisema nje maana ni nje ya continent la Africa, league za ulaya tunasema nje japo sio kiswahili fasaha lakini lugha ya mpira nje ni league za Ulaya.Hapa ni kwao?? Au una maanisha nje ipi??
Kwahiyo timu ifanye usajili tena wa wachezaji kumi na nne wapya ?Wazawa wa kubaki kwa maon yangu ni hawa.
Zimbwe jr
Shomi
Kakolanya
Manula
Kibu
Kennedy
Wengine wakajaribu kwingine
Banda ndiyo mchezaji mwenye akili nyingi zaidi uwanjani ukiondoa Chama kwenye kikosi cha Simba tatizo work rate yake ni ndogo tu na hana nguvu anahitaji mwalimu atakayemturn kuwa beast.Banda tuliibiwa na scouts na madalali
Hamna kitu hapo kwa Sakho mmepigwa!mkiji changanya na kumwacha sakho, tuna mdaka pale terminal3, na hamta amini macho yenu baada ya miezi3 tuu