MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Huyo dogo hata mm nimeanza kuto mwelewa kabisa ni mbinafsi Sana alafu analazimisha ufalme kinguvu pale Simba kitu ambacho naona kinaenda kuigharim timuHiyo takataka Sakho irudishwe kwao, game 2 tatu anaona kama timu iko mabegani mwake, anaigharimu mno timu yake kwa chenga au kukaa na mipira bila sababu za msingi.
Kwa jinsi wanavyocheza Yanga, Kwenye nafasi ya Moloko akipatikana BWALYA nina imani atafit sana kwenye aina ile ya uchezaji wa Yanga.
Kama mechi za kina MBEYA KWANZASakho mechi ngumu hatoboi. Mechi zake ni zile laini laini kwa timu weak especially timu yake ikiwa home.
Inonga na Morrison usha wahi kuwakataa kwenye ID yako nyingine1. Joash Onyango
2. Henock Inonga
3. Clatous Chama
4. Pape Ousmane Sakho
5. Bernard Morrison
6. Peter Banda
Ambao sijawataja hapa waachwe upesi sana Msimu wa Ligi Kuu ya NBC ukimalizika tafadhali kwani hawana Jipya, hawa Msaada kwa Timu na Wameshachoka.
Sina desturi ya Kukosea Kiuchambuzi.
Yaan aje AZAM??mkiji changanya na kumwacha sakho, tuna mdaka pale terminal3, na hamta amini macho yenu baada ya miezi3 tuu
mnakumbuka mlivyo jichanganya kwa tambwe ????? ebu rudieni upuuzi ule tenaYaan aje AZAM??
KMCYaan aje AZAM??
Level za sasa ni kushindana kimataifa, watu kama Sakho wanahitaji kupewa Saikolojia nzuri ili ajue anapocheza ni kwa manufaa ya Timu na sio yake, na ndio maana inaitwa TIMU.mnakumbuka mlivyo jichanganya kwa tambwe ????? ebu rudieni upuuzi ule tena
Promo tu za media na kuwajambisha simba, Yanga hakuna kambi ya wazee.Nilisikia Onyango aligoma kuendelea kubaki Simba Sc. Na kuna klabu kadhaa zimeonesha kutamani huduma yake ikiwemo Yanga
na umri wake mkuu so kwamm simshangai Sana tule tu utoto twake.Level za sasa ni kushindana kimataifa, watu kama Sakho wanahitaji kupewa Saikolojia nzuri ili ajue anapocheza ni kwa manufaa ya Timu na sio yake, na ndio maana inaitwa TIMU.
Mchezaji pekee anayeweza kuja kucheza nje siku moja ni Sakho hakuna mwingine Simba. Huyu anahitaji mwalimu mzuri ila ndio kipaji pekee unaweza siku ukasikia yuko nje.Level za sasa ni kushindana kimataifa, watu kama Sakho wanahitaji kupewa Saikolojia nzuri ili ajue anapocheza ni kwa manufaa ya Timu na sio yake, na ndio maana inaitwa TIMU.