Wachezaji wa kigeni Yanga wamechukua nafasi nyingi sana za wazawa, patakalika kweli?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Wachezaji wa Nje Waliojihakikishia Namba
  1. CHADRACK BOKA
  2. AZIZ KI
  3. CHAMA
  4. PACOME ZOUZOUA
  5. DUKE ABUYA
  6. YAO KOUASSI
  7. PRINCE DUBE
  8. BALEKE
  9. DIARRA
  10. AUCHO
  11. MAX
Wachezaji wa Tanzania Waliojihakikishia Namba
  1. MUDATHIR YAHAYA
  2. CLEMENT MZIZE
  3. ANDAMBWILE
  4. JOB
  5. MWAMNYETO
  6. BACCA
 
Mpira ni mchezo wa wazi. Kama unajua, unajua tu hakuna cha uzawa wala ugeni, uwezo ndio kila kitu popote duniani. Hata ligi kubwa duniani kama za ulaya ni wageni ndio wanatamba.

Wazawa wacheze mpira, uwezo ndio utawabeba na kuwatambulisha. Pia wakiitwa timu ya taifa kwa mashindano ya kufuzu CECAFA,CAF, CHAN, FIFA, timu za vijana ,waoneshe uwezo. Kama uko timu ndogo au timu za mkoani onesha uwezo kama wewe ni kipa daka kweli kweli kuwa na clean sheet za kutosha, kama wewe ni beki cheza kweli, kama kiungo toa pass toa cross toa assist, kama wewe ni mshambuliaji funga magoli acha kupaisha mpira kama fala.
Halafu masuala ya kuuza mechi kwa simba na yanga muache. Cheza mpira uwezo wako ndio utakuonesha, namba zako zitakutangaza.

Wazawa wacheze mpira waache kudeka.
 
Kabisa ukiwa unajua unajua tu, kocha hawezi kupanga mchezaji kwa kuangalia kabila wakati anataka ushindi.
 
Mpira ni mchezo wa wazi. Kama unajua, unajua tu hakuna cha uzawa wala ugeni, uwezo ndio kila kitu popote duniani. Hata ligi kubwa duniani kama za ulaya ni wageni ndio wanatamba.

Wazawa wacheze mpira, uwezo ndio utawabeba na kuwatambulisha. Pia wakiitwa timu ya taifa kwa mashindano ya kufuzu CECAFA,CAF, CHAN, FIFA, timu za vijana ,waoneshe uwezo. Kama uko timu ndogo au timu za mkoani onesha uwezo kama wewe ni kipa daka kweli kweli kuwa na clean sheet za kutosha, kama wewe ni beki cheza kweli, kama kiungo toa pass toa cross toa assist, kama wewe ni mshambuliaji funga magoli acha kupaisha mpira kama fala.
Halafu masuala ya kuuza mechi kwa simba na yanga muache. Cheza mpira uwezo wako ndio utakuonesha, namba zako zitakutangaza.

Wazawa wacheze mpira waache kudeka.
Naunga mkono hoja
 
Wachezaji wa Nje Waliojihakikishia Namba
  1. CHADRACK BOKA
  2. AZIZ KI
  3. CHAMA
  4. PACOME ZOUZOUA
  5. DUKE ABUYA
  6. YAO KOUASSI
  7. PRINCE DUBE
  8. BALEKE
  9. DIARRA
  10. AUCHO
  11. MAX
Wachezaji wa Tanzania Waliojihakikishia Namba
  1. MUDATHIR YAHAYA
  2. CLEMENT MZIZE
  3. ANDAMBWILE
  4. JOB
  5. MWAMNYETO
  6. BACCA
Wanajituma, kama unajua kazini kwako kuna kazi unatakiwa ujitume na kujiongezea ujuzi,(kujifunza zaidi), individual skills
 
Kupata nafasi katika Mpira ni juhudi na bidii ya mchezaji.....sio teuzi.
 
Hii mada ni hasira za Simba na Azam kukandwa khamsa na 4G, Gamondi huchezesha wachezaji wote ila derby zote huweka mkoko haswa ili heshima iwepo mjini, tuna ligi 3 ndefu wazawa wote mbona huwa wanacheza!!
Mbumbumbu punguzeni makasirikio!
 
Wapambane kuipata namba hao akina bacca wasingepambana wangetafutiwa watu wenye uwezo
 
Wachezaji wa Nje Waliojihakikishia Namba
  1. CHADRACK BOKA
  2. AZIZ KI
  3. CHAMA
  4. PACOME ZOUZOUA
  5. DUKE ABUYA
  6. YAO KOUASSI
  7. PRINCE DUBE
  8. BALEKE
  9. DIARRA
  10. AUCHO
  11. MAX
Wachezaji wa Tanzania Waliojihakikishia Namba
  1. MUDATHIR YAHAYA
  2. CLEMENT MZIZE
  3. ANDAMBWILE
  4. JOB
  5. MWAMNYETO
  6. BACCA
List kama hii ndiyo inaua msisimko na ushabiki wa mpira hapa nchini hasa katika mechi za watani wa jadi. Zamani akina Sembuli; Manara na upande wa pili akina Kajole, masimenti etc walikuwa wapenzi wa vilabu na wachezaji wa hivyo vilabu. Kila mtu akicheza hiyo mechi kunachimbika. Lakini mitindo yenu ya kuchukua foreigners ambao hawajui ushabiki wa simba na yanga, hauleti msisimko wa nyakati zetu. Hawa wanacheza kutafuta hela, wakati wenzao walicheza ili washinde waoneshe ufahari
 
Mpira ni mchezo wa wazi. Kama unajua, unajua tu hakuna cha uzawa wala ugeni, uwezo ndio kila kitu popote duniani. Hata ligi kubwa duniani kama za ulaya ni wageni ndio wanatamba.

Wazawa wacheze mpira, uwezo ndio utawabeba na kuwatambulisha. Pia wakiitwa timu ya taifa kwa mashindano ya kufuzu CECAFA,CAF, CHAN, FIFA, timu za vijana ,waoneshe uwezo. Kama uko timu ndogo au timu za mkoani onesha uwezo kama wewe ni kipa daka kweli kweli kuwa na clean sheet za kutosha, kama wewe ni beki cheza kweli, kama kiungo toa pass toa cross toa assist, kama wewe ni mshambuliaji funga magoli acha kupaisha mpira kama fala.
Halafu masuala ya kuuza mechi kwa simba na yanga muache. Cheza mpira uwezo wako ndio utakuonesha, namba zako zitakutangaza.

Wazawa wacheze mpira waache kudeka.
Nilichokuwa nataka kuchangia nimekuta umemaliza kila kitu, hoja ni kujituma na kuonesha kipaji kwa juhudi zote, epuka utovu wa nidhamu,fuata maelezo ya kocha ukipewa nafasi kichafue dimbani kama ndio mechi yako ya majaribio basi. Ukimaliza apo namba unapata nasio kutumia huruma na vigezo vya uzawa na uraia
 
Back
Top Bottom