Wachezaji wa Kipekee wa Kigeni wa Simba SC ninaotaka wabaki ni hawa Wafuatao wengine waachwe upesi sana

Wachezaji wa Kipekee wa Kigeni wa Simba SC ninaotaka wabaki ni hawa Wafuatao wengine waachwe upesi sana

Saido mmoja ni bora kuliko hao akina Sacko na wenzao isipokuwa Inonga ambaye kazi yake inaeleweka
 
Wachezaji wazuri Simba mimi naona ni Inonga na Kanoute tu. Chama msimu ujao mtamkataa.
 
KULETA WACHEZAJI MIZIGO.

Kwanini mmepoteza Beno kakolanya kirahisi hivyo????

1. Mohamed Ottara.
2. Joash Onyango.
3. Ismail sawadogo.
4.Peter Banda.
5. Pape Sackho.
6.Agustine Okrah.
7. ( Sadio kanute)

WACHEZAJI WAZAWA WA KUACHWA.

1.John Boko.
2.Jonas Mkude.
3. GADIEL Michael.
4. Nassor Kapama.
5.Habib Kyombo.

NAFASI MUHIMU ZA KUJAZA.

1.Golikipa nambari Mbili.
2. Beki wa kushoto.
3. Mabeki wa kati .
4. Kiungo mkabaji ,, 6 ,, 8.
5. Mshambuliaji wa KIGENI futi sita.
6. Winga wa kushoto.

ZINGATIENI SANA VIMO VYA WACHEZAJI WALAU 6 FEET.

BORA KUSAJILI WACHEZAJI WACHACHE KULIKO KUWA NA RUNDO LA WACHEZAJI MIZIGO.
MOHAMED DEWJI.
TRY AGAIN.
MANGUNGO.
BODI YA WAKURUGENZI.
 
1. Chama
2. Inonga
3. Phiri
4. Sakho
5. Baleke

Wasajiliwe wengine Saba (7) tu Wazuri kama hawa Watano (5) niliowataja hapa ili Kutimia Idadi ya Wachezaji wa Kigeni Kumi na Mbili (12) Wanaotakiwa ili Simba SC irejeshe Hadhi na Heshima yake.
Mwamba kanunua viberiti vya kutosha subiri msimu ujayo atakavyo uwasha mpeni mda.

Screenshot_20230516_113557_Instagram.jpg
 
Banda boli analijua, Sijui kwann tunamdharau !!.
Peter Banda Hamna kitu. Haiwezekani mchezaji una Misimu 3 huna lolote wakati Babu Ntibanzokiza kaja juzi Amezoa mituzo kama yote. Alafu wewe una jidai wonder kid Hamna kitu.

Simba iachane na peter banda Haraka kabisa.

Isajili wachezaji wanaojitambua na kujua thamani ya klabu ya simba. Angalia wakongo wamekuja Yanga wameipa ubingwa Mara 2 Mfululizo.
 
1. Chama
2. Inonga
3. Phiri
4. Sakho
5. Baleke

Wasajiliwe wengine Saba (7) tu Wazuri kama hawa Watano (5) niliowataja hapa ili Kutimia Idadi ya Wachezaji wa Kigeni Kumi na Mbili (12) Wanaotakiwa ili Simba SC irejeshe Hadhi na Heshima yake.
Genta, na kwa maoni yako wachezaji wa ndani list yao ikoje unaotaka wabaki?
 
1. Chama
2. Inonga
3. Phiri
4. Sakho
5. Baleke

Wasajiliwe wengine Saba (7) tu Wazuri kama hawa Watano (5) niliowataja hapa ili Kutimia Idadi ya Wachezaji wa Kigeni Kumi na Mbili (12) Wanaotakiwa ili Simba SC irejeshe Hadhi na Heshima yake.
Shako wa nini
 
Saido humtaki mkuu

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom