Wachezaji wa Kipekee wa Kigeni wa Simba SC ninaotaka wabaki ni hawa Wafuatao wengine waachwe upesi sana

Kama kuna mpuuzi huwa simwelewi basi ni huyo Kanoute. Leo yuko form, game kadhaa mbele hayuko form, na anachomesha balaa kwa mikadi ya njano ya kijinga jinga. Kuna wakati niliumia Fraga anaomba kurudi Simba ila uongozi unambania, unaendelea kuliamini hili jinga Kanoute.

Kiungo mkabaji unakuwa nyoro nyoro namna ile? Ni mara nyingi amewapa kazi ngumu mabeki. Akwendeee!!!!
Kanoute abakishwe pia
 
Kwahiyo sisi maandunje mnatuachaje?? Tukacheze wapi na ndoto yetu ni kucheza de lunyasi kolo fc.
 
Kalpana tupe maoni yako. Mnyama awatose nani aimarishe wapi
Yani nimejikuta tuu naumia kutoka kwa wachezaji wote kina gadiel,kina nyoni kina mkude kina kakolanya yani naumia tuu...ujue tuliwazoea....
Kuhusu kusajili nani yy mwalimu afanye tuu vetting zake aone watakao enda na kasi yake...
 
1. Chama
2. Inonga
3. Phiri
4. Sakho
5. Baleke

Wasajiliwe wengine Saba (7) tu Wazuri kama hawa Watano (5) niliowataja hapa ili Kutimia Idadi ya Wachezaji wa Kigeni Kumi na Mbili (12) Wanaotakiwa ili Simba SC irejeshe Hadhi na Heshima yake.
samaani mkubwa angu unaonekana una cheo krab ya simba naomb nije iniboksi unisaidie mudogo wangu achezee krabu hii kubw aflika mashaliki.asante ubalikiwe
 
Wachezaji wazuri Simba mimi naona ni Inonga na Kanoute tu. Chama msimu ujao mtamkataa.
Chama hakupaswa rudi Simba, ila tatizo la Simba na Yanga zinasikiliza kelele za mashabiki mno
 
Wewe umemaliza kabisa, ila cha ajabu Bocco hataondolewa
 
Ila Fraga anaipenda Simba hadi keshooo.
 
1. Chama
2. Inonga
3. Phiri
4. Sakho
5. Baleke

Wasajiliwe wengine Saba (7) tu Wazuri kama hawa Watano (5) niliowataja hapa ili Kutimia Idadi ya Wachezaji wa Kigeni Kumi na Mbili (12) Wanaotakiwa ili Simba SC irejeshe Hadhi na Heshima yake.
Saidoo nae out?
 
HAPO BALEKE NA INONGA NDIO WAKO KWENYE KIWANGO CHA USHINDANI kinachoruhusu fedha kutumika kwa ajili ya mishahara...hao kina chama phiri ni wa kiwango cha robo hawatoboi popote..ni wachovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…