Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Hizi Takwimu Za Uchochoroni Na Watu Wanaziabudu Kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyoni amewazidi thamani kina idd nado, kibabage hadi yule joshua wa tusker hayupo kwenye list.. duuh makolo mpira umewashinda
Sasa feisal ana thamani gani nawewe ebu acha mapenzi yakoYaani kwanza hii list ilipoanza tu manula na bocco Plus gadiel kumpita feisal fundi nimeipuuzia.
Hii itakuwa mudi kaedit, sasa bocco na nyoni nani atawanunua africa hapa?
Ila makolo huwa mnavunja mbavu sana watu
Bocco na nyoni ndio wenye thamani nchi nzima?Sasa feisal ana thamani gani nawewe ebu acha mapenzi yako
Thamani yake kubwa huku akikaa benchi!Hapo kwa gadiel hata makolo wenzako watashangaa
Niwekee source unayo iamini tuitumie hiyo hiyo kama mzani tuone kama huko feisal kamzidi boccoBocco na nyoni ndio wenye thamani nchi nzima?
Hebu acha unazi wenu mnataka jf nzima iwe hivi tu.
Kwanza hiyo source haiaminiki.
Kila nikikumbuka kuwa umezaliwa 2002 na hii akili unayotumia ya kijinga unayotumia kucomment kwenye mijadala mbalimbali humu Jf, nashawishika kuamini kwamba wewe ni tatizo la baadae.Kashabikie porno tu we kolo
SawaKila nikikumbuka kuwa umezaliwa 2002 na hii akili unayotumia ya kijinga unayotumia kucomment kwenye mijadala mbalimbali humu Jf, nashawishika kuamini kwamba wewe ni tatizo la baadae.