Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Kangwanda yuko vizuri ila huyu Zakuani labda tumpe mudaWananchiii,
Hawa wachezaji wawili wakuitwa kangwada na zakuoani ni level za nbc premier leage. Nimewatizama jana tena dhidi ya timu ya kawaida, weupe tu hawa wachezaji.
Siwaoni wakiibeba yanga mabegani kama wataingia group stage caf champions leage.
View attachment 3664260
Huu ni ukweli usioimbwa, hakuna anayefikia hata robo ya pacome hapo!Wananchiii,
Hawa wachezaji wawili wakuitwa kangwada na zakuoani ni level za nbc premier leage. Nimewatizama jana tena dhidi ya timu ya kawaida, weupe tu hawa wachezaji.
Siwaoni wakiibeba yanga mabegani kama wataingia group stage caf champions leage.
View attachment 3664260
Huyu kangwanda ni mchezaji mzuri ila sasa sijui ni maringo au uvivu naona kama anatumia asilimia chache sana za uwezo wake
Sio wachezaji wabaya, ila aina yao ya uchezani inafaa kwa timu inayocheza kwa kupishana na sio timu zinazocheza low blockWananchiii,
Hawa wachezaji wawili wakuitwa kangwada na zakuoani ni level za nbc premier leage. Nimewatizama jana tena dhidi ya timu ya kawaida, weupe tu hawa wachezaji.
Siwaoni wakiibeba yanga mabegani kama wataingia group stage caf champions leage.
View attachment 3664260
Wenzako hao wa MsimbaziIla watu, yaan match ya jana mshaanza kuongea shit, muwape Time wachezaju, Lol
Kumbe hata simba huwa anahongwq ndio anafungwa na yanga?Na walivyo vichwa maji watakataa.Ngoja warudi kuzifunga timu nnenne kwa udhamini.
Ukibainika unafurushwa.Kumbe hata simba huwa anahongwq ndio anafungwa na yanga?
je baada ya kufurushwa umefungwa mara ngapi na yanga?Ukibainika unafurushwa.
cc;Aishi Manula.
Tupo kwenye uchunguzi kwanza mlifungwaje sita.je baada ya kufurushwa umefungwa mara ngapi na yanga?