Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Sasa mbona alipigwa mangungu siku ile wakati mupo kwenye uchunguziTupo kwenye uchunguzi kwanza mlifungwaje sita.
Gaborone Utd wanakusabahi.Sasa mbona alipigwa mangungu siku ile wakati mupo kwenye uchunguzi
Diarra kauza mechi.Wananchiii,
Hawa wachezaji wawili wakuitwa kangwada na zakuoani ni level za nbc premier leage. Nimewatizama jana tena dhidi ya timu ya kawaida, weupe tu hawa wachezaji.
Siwaoni wakiibeba yanga mabegani kama wataingia group stage caf champions leage.
View attachment 3664260
Hata wewe moyoni mwako unajua ukweli kuwa Gaborone Hana chake tenaGaborone Utd wanakusabahi.
Baada ya maiti kupiga chafya.Mlitia huruma kama mnatazama movie ya kutisha.Kalio moja juujuu kama chupa ya togwa.Daaadeeeki!Wapi Arajigaaaaa?Hata wewe moyoni mwako unajua ukweli kuwa Gaborone Hana chake tena
Sio maiti ndio ukweli huo umesahau simba ya moto alikufa Zambia ila akaja kufufuka lupaso?Baada ya maiti kupiga chafya.
Hata belouzdad nae ilikuwa hiviBaada ya maiti kupiga chafya.Mlitia huruma kama mnayazama movie ya kutisha.Kalio moja juujuu kama chupa ya togwa.Daaadeeeki!Wapi Arajigaaaaa?
Mtakoma safari hii.Hata belouzdad nae ilikuwa hivi
Hapana wewe tulia tu utaona kitakachotokea Ikiwa kama wewe ulipiga on target moja tu tulipokutana juzijuzi sembuse hao gaborone?Mtakoma safari hii.
Mjiliwaze tu.Hapana wewe tulia tu utaona kitakachotokea Ikiwa kama wewe ulipiga on target moja tu tulipokutana juzijuzi sembuse hao gaborone?
Hapana sio kujiliwaza bali ndio ukweli wewe mwenyewe bila shaka unaelewa haya mashindano yanavyokuwa pale unapotumia uwanja wa nyumbaniMjiliwaze tu.
Siyo kwa Gaborone Utd.Ulimi njenje kama vimbulu.Hapana sio kujiliwaza bali ndio ukweli wewe mwenyewe bila shaka unaelewa haya mashindano yanavyokuwa pale unapotumia uwanja wa nyumbani
š¤£š¤£usimalize manenoSiyo kwa Gaborone Utd.Ulimi njenje kama vimbulu.
Shalulile siyo wa kutegemeaMpaka sasa tuombe job na mzize wapone na wapate utimamu ili tucheze ROBO lazima kiungo tuwe na
Duke maxi muda na Azizi pale juu
Attacking tuwe na mzize kama winga kushoto kangwanda kulia na shalulile kati
Ulinzi CB wawe job na Bacca hapo hata fainali uhakika
Group stage? Wajipqnge mwakaniWananchiii,
Hawa wachezaji wawili wakuitwa kangwada na zakuoani ni level za nbc premier leage. Nimewatizama jana tena dhidi ya timu ya kawaida, weupe tu hawa wachezaji.
Siwaoni wakiibeba yanga mabegani kama wataingia group stage caf champions leage.
View attachment 3664260
Waambie waambieHapo hujamzungumzia Petro ambaye alihusishwa sana na kusaidia kimataifa.