Sindano za sumu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2022
- 296
- 738
Labda fainali ya kalonga cupMpaka sasa tuombe job na mzize wapone na wapate utimamu ili tucheze ROBO lazima kiungo tuwe na
Duke maxi muda na Azizi pale juu
Attacking tuwe na mzize kama winga kushoto kangwanda kulia na shalulile kati
Ulinzi CB wawe job na Bacca hapo hata fainali uhakika
Hii ndio aina ya wachambuzi waliojaa redioni yaani mechi moja tu tayari msha anza vihere here kama kimburu unaposema hao wachezaji ni level na NBC hao Gaborone wana quality gani ya kimataifa kiasi kwamba ndio kipimo cha mechi ngumu?Wananchiii,
Hawa wachezaji wawili wakuitwa kangwada na zakuoani ni level za nbc premier leage. Nimewatizama jana tena dhidi ya timu ya kawaida, weupe tu hawa wachezaji.
Siwaoni wakiibeba yanga mabegani kama wataingia group stage caf champions leage.
View attachment 3664260
Washabiki wanaoangalia mechi za Azam tv pekee mwambie Madrid alikufa juzi ugenini na tuta walikosa dk za lala salama ana watu wa kujazwa kwenye fusso ila kafa..Hii ndio aina ya wachambuzi waliojaa redioni yaani mechi moja tu tayari msha anza vihere here kama kimburu unaposema hao wachezaji ni level na NBC hao Gaborone wana quality gani ya kimataifa kiasi kwamba ndio kipimo cha mechi ngumu?
Nimapema sana kuwajaji hata game ya home yanga hawatacheza vile ,kuna kitu pia kocha kajifunza nadhani walichkulia hii game simple sanaWananchiii,
Hawa wachezaji wawili wakuitwa kangwada na zakuoani ni level za nbc premier leage. Nimewatizama jana tena dhidi ya timu ya kawaida, weupe tu hawa wachezaji.
Siwaoni wakiibeba yanga mabegani kama wataingia group stage caf champions leage.
View attachment 3664260
Timu bora haina cha ugenini,mwenyeji akiwa kibonde anakula hukohuko.Ndio maana Tanzania mpira unatushinda tunachoweza ni siasa tu unataka Timu icheze vip ugenini Mamelodi ni mabingwa na tunaona ugenini wanasota kweli mpaka wanatoboa hapo kwao..
Yaani mechi moja tu wachezaji watasemwa balaa shida mnaenda na matokeo yenu timu ikitoa sare au kufungwa hakuna Timu jaribuni kuangalia na mechi zingine tofauti na za Timu zenu mjifunze boli.
Waarabu hawana Timu sasa hivi mazee wanaosumbua sasa hivi ni Mamelodi na ndio mabingwa Waarabu gani wanashinda hao Al Ahly wanashiriki kombe la CAF la shirikisho sio hili.Timu bora haina cha ugenini,mwenyeji akiwa kibonde anakula hukohuko.
Angalia waarabu wa Kaskazini na wachezaji mahiri ni mechi kama hizi za ugenini ndiyo huonesha makali yao.
Mbona wanacheza fresh tuWananchiii,
Hawa wachezaji wawili wakuitwa kangwada na zakuoani ni level za nbc premier leage. Nimewatizama jana tena dhidi ya timu ya kawaida, weupe tu hawa wachezaji.
Siwaoni wakiibeba yanga mabegani kama wataingia group stage caf champions leage.
View attachment 3664260
Waliompiga Yanga nyumbani msimu ulioisha si ni haohao waarabu?Waarabu hawana Timu sasa hivi mazee wanaosumbua sasa hivi ni Mamelodi na ndio mabingwa Waarabu gani wanashinda hao Al Ahly wanashiriki kombe la CAF la shirikisho sio hili.
Ubingwa anapata vip kama hana mpira kombe hili linataka mbinu sio mpira wa kutisha ungekua unajua mpira ungeelewa jana Yanga wao ndio walimiki mpira kwa muda mrefu Ila walifeli mbinu sio wachezaji..Waliompiga Yanga nyumbani msimu ulioisha si ni haohao waarabu?
Mamelodi hana mpira wowote wa kutisha licha ya huo ubingwa.
Huna timu ya kucheza hata robo fainali. Una timu ya kuwasumbua JKT.Mpaka sasa tuombe job na mzize wapone na wapate utimamu ili tucheze ROBO lazima kiungo tuwe na
Duke maxi muda na Azizi pale juu
Attacking tuwe na mzize kama winga kushoto kangwanda kulia na shalulile kati
Ulinzi CB wawe job na Bacca hapo hata fainali uhakika
Hivi mnafanya huu uchambuzi, kwa kutumia vipimo gani? Timu zimecheza mechi moja pekee klabu bingwa na timu zingine hazicheza bado hata mechi moja. Ni mapema kufanya tathmini kwasababu kwenye mpira wa miguu timu hupanda na hushuka ubora hata kama timu ina jina kubwa. Hivyo mbeleni ndio tutapata jibu kuhusu ubora wa kila timu zinazoshiriki michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu.Huna timu ya kucheza hata robo fainali. Una timu ya kuwasumbua JKT.
Wachezaji wote Yanga,Simba,Azam ,Singida BS ni wa viwango vya kati. Hakuna ubora wa kucheza nusu au fainali.
Simba amecheza hizo robo sababu ya jina alilolitengeneza,ndio maana hasogei ziadi ya hapo sababu hana quality ya nusu au fainali.
Matokeo ya NBC siyo kipimo cha kucheza klabu bingwa.
Hata makundi ni kwa shida Yanga itavuka.
Aziz Ki, Max, bado sana.