Wachezaji wa SSC Team-Work inawagharimu

"Sasa ngoja muende SA mkaoneshwe nidhamu ya mpira na maana ya team work.

Nilisema SSC hamuwezi kupita na HAMTOPITA. Huo ndio UKWELI mchungu, mtajadili jadili hapa sijui suluhu kule sijui nini , lakini jibu ni moja, MTAFUNGWA straightforward bila hata ya kutumia nguvu."

KWAMANENO HAYO WEWE UTOPO KALALE!
 
Kwa hyo hyo yanga yenye team work na sprit imefikia hatua gani huo ushauri badala uwape yanga ili wafike mbali unakuja kuutoa kwa simba ww unadhani wale Orlando pirates ni geita gold hebu ombeni nao mechi ya kirafiki kabla hawajaondoka somalia tu waliwatoa jasho.
 
Walitegemea Simba atafungw... sasa wanatabiri tena na mikeka yao ilisomeka Opirate anawin or draw.... sababu kuu et mechi za makundi kashinda ugenini na nyumbani!!!

NAWAPA POLE MLIOUMIZWA NA USHINDI WA SIMBA!

Subiri wiki ijayo, uje hapa

 

Sawa. Muda utaongea
 
Kwenye timu yako ya utopolo huna mchezaj kama sakho
 
Kwani kufungwa na kuondolewa kwenye mashindano ni ajabu?
Hiyo ni sehemu ya mchezo. Utopolo alishiriki haya mashindano ya CAF lakini aliishia Kuliingiza taifa katika historia mbaya ya aibu ya kusuguliwa kotekote na Rivers .Leo ya simba mnayashadadia utafikiri nyie mko fainali. Uto [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] mna matatizo Sana vichwani
 

Mimi ni SSC ninayeongea ukweli TUPU
 
Uchambuzi wako unanikumbusha Thiery Henry,Henry alikua mchambuzi nguli mpaka wadau wakaona ngoja tumpe timu afundishe,akapewa Ajax kilichofatia ni aibu kusema.
Bongo wachambuzi ni wengi mpaka mnajichanganya wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…