Wachezaji wa Taifa Stars baada ya kuambiwa Kocha Mkuu Adel hayuko tena wamefurahi na kuahidi kufanya kweli

Kwahiyo tutarajie matokeo mazuri sio??

Maana juzi walifanya tunyanyasike sana.😡
 
Kuna habari kwamba TFF wamemtimua
hauko mbali na ukweli na muda wowote kuanzia sasa watakuja na official statement juu ya uamuzi huo na kwa sasa wanamalizia masuala ya kisheria kuhusu mkataba wake na tff kupitia uwakilishi wa serikali ambayo ndiyo ilijitolea kumlipa mshahara wake
 
Ila kwa nini sisi hatuwaamini makocha wazawa? Ona Senegal, Cameroon wanafanya vyema na makocha wao wazawa.
kiwango cha soka cha nchi tajwa za senegal na cameroon pamoja na uwekezaji wake ni sawa na tanzania ambapo timu ya taifa ni mali ya ccm na rais na siyo ya watanzania wote bila ya kujali itikadi zao za kisiasa na kidini?
 
Iliyokua sio ya hovyo ikatokea ni ipi!!? Mind your language!!!
 
Timu yetu mbovu, ligi yetu mbovu, tff mbovu, serikali yetu mbovu halafu mnataka kiwango Cha timu yenu kiwe Kama brazil
Wewe na wenzio mashabiki maandazi wabovuuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
huyo kocha tulishaingia chaka sana. tangu lini mwarabu akawa kocha wa timu ya taifa? hivi tulifumba macho?
Si bora hata wangemtafuta yule mbrazil Marcio Maximo pamoja na hamsha hamsha zake tulikuwa na jambo kwa future ya team yetu!.
 
hivi, tuseme ukweli, tukimweka kocha wa kibongo tukamlipa pesa nzuri kama wanayolipwa makocha wanaotoka nje, atashindwa kweli kutufikisha pazuri? chukua kocha mbongo lipa hata milioni 20 kwa mwezi uone kama hajafundisha timu kufa na kupona.
 
Mbovu aliyezaa chawa Kama wewe bila shaka utakuwa mwijaku
Unavuka mipaka sasa. Ko tuseme Maza ako alizaa andazi yaani!!!

Usimdharau dingi ako kumpiga pumbu maza ako na matako kayakaza utokee wewe alafu ujione andazi bwege weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jifunze kuchunga mdomo wako kwanza ukikua utaacha makalio ya mbuzi weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
huyo kocha tulishaingia chaka sana. tangu lini mwarabu akawa kocha wa timu ya taifa? hivi tulifumba macho?
Ndio Aliosababisha tukafika hapo maana ndugu zake wa Algerian walituachia mechi ya mwisho tukapata sare nyumbani kwao,ili mtu wao abaki kwenye ajira hiyo.hatuna ubavu wa kupata sare na Algeria nyumbani kwake aisee.
Na hata huko afcon tunatia aibu kwa sababu hatukustaili kuwepo huko.
 
hivi, tuseme ukweli, tukimweka kocha wa kibongo tukamlipa pesa nzuri kama wanayolipwa makocha wanaotoka nje, atashindwa kweli kutufikisha pazuri? chukua kocha mbongo lipa hata milioni 20 kwa mwezi uone kama hajafundisha timu kufa na kupona.
Mkwasa si anadai mpaka leo?
Bongo uzwazwa mwingi
 
hivi, tuseme ukweli, tukimweka kocha wa kibongo tukamlipa pesa nzuri kama wanayolipwa makocha wanaotoka nje, atashindwa kweli kutufikisha pazuri? chukua kocha mbongo lipa hata milioni 20 kwa mwezi uone kama hajafundisha timu kufa na kupona.
Makocha wazawa hawana msimamo wata anza kubalance wachezaji wa Simba na Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…