Sasa tatizo letu kiwango tu.Unamwachaje beki Kijili? Wenzetu wamepeleka majitu kama kijili kila namba
Kwa tz hata tungemuazima Messi tukampa jezi ya taifa stars avae lazima tungefungwa au nasema uwongo bro kataaTanzania hatuna mpira hata angeanza jm kama kocha wangefungwa tu
We pumbavu unafikiri mi na wewe tunalingana mpaka inaanza kuniita andazi, kwa hiyo imekuuma nilivyokwambia aliyekuzaa ndio chawa. Kama aliyekuzaa angekulea vizuri ingekuwa na adabu kenge weUnavuka mipaka sasa. Ko tuseme Maza ako alizaa andazi yaani!!!
Usimdharau dingi ako kumpiga pumbu maza ako na matako kayakaza utokee wewe alafu ujione andazi bwege wewe😂😂😂
Jifunze kuchunga mdomo wako kwanza ukikua utaacha makalio ya mbuzi wewe😂😂😂😂😂😂😂
Tumpe Julio au nsajigwa!?Ila kwa nini sisi hatuwaamini makocha wazawa? Ona Senegal, Cameroon wanafanya vyema na makocha wao wazawa.
Kaka hapa bongo hatujui vitu vizuri hatuangalii mbali na hatuna nia ya dhati ya kufikisha soka letu mbali tumejawa na zile akili za nikipata nafasi napiga changu mapema viongozi wengi wanaangalia maslahi yao sifuatilii sana mpira ila naumia timu ya taifa ikifungwa sijui kwa nini mpaka nawaona manyani tu yafungwe ndio basi tenaKwa tz hata tungemuazima Messi tukampa jezi ya taifa stars avae lazima tungefungwa au nasema uwongo bro kataa
Angalia CV za hao makocha wazawa linganisha na wakwetuIla kwa nini sisi hatuwaamini makocha wazawa? Ona Senegal, Cameroon wanafanya vyema na makocha wao wazawa.
Ni upuuzi mtupu. Timu yetu ni mbovu tu. Mbwana Samatta na Saimon Msuva wakati wao umeshapita.Kwa mujibu wa chanzo changu muhimu kilichopo kambini Ivory Coast kimesema kwa furaha iliyoko sasa kambini kwani hata wachezaji nao kuanzia nahodha Samatta walikuwa hawamkubali na hawamtaki kocha mkuu dalali Adel Amrouche.
Wamesema wanaenda kuwafunga Zambia na hata Congo DR ili tu kuwaheshimisha makocha wazawa kaimu kocha mkuu hemed morocco na msaidizi wake kocha Juma Mgunda.
Soma:
- CAF yamfungua mechi 8 Kocha wa Taifa Stars, huku TFF ikimsimamisha. Aliishutumu Morocco kwa kupanga mechi
We ulitaka watoke mbinguni?kuokoteza ndio nini?Utumbo mtupu, timu imejaa wachezaji wa kuokoteza
Cameroon wamefanya nini na kocha mzawa. Wamenyakua kombe gani.Ila kwa nini sisi hatuwaamini makocha wazawa? Ona Senegal, Cameroon wanafanya vyema na makocha wao wazawa.
Wewe mbona una akili za kichuchu? Nani alikwambia pesa huongeza ujuzi..😳😳😳hivi, tuseme ukweli, tukimweka kocha wa kibongo tukamlipa pesa nzuri kama wanayolipwa makocha wanaotoka nje, atashindwa kweli kutufikisha pazuri? chukua kocha mbongo lipa hata milioni 20 kwa mwezi uone kama hajafundisha timu kufa na kupona.
Utumbo mtupu, timu imejaa wachezaji wa kuokoteza
Hatupaswi kuwabeza tunapaswa kuja na suluhisho ya Changamoto walizozionyesha.Kwao kucheza Makundi ni hatua kubwa sana.Hata wachezaji wetu wa Stars hasa wazawa nao wanaficha madhaifu yao kwa kumsingizia kocha. Kiufupi ni kwamba hatuna wachezaji wa viwango.