Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Sasa tatizo letu kiwango tu.Unamwachaje beki Kijili? Wenzetu wamepeleka majitu kama kijili kila namba
Tulishaweka majitu akina Mwaikimba yalikuwa yana kimbia kimbia tu uwanjani tukapigwa nne pale CCM Kirumba Mwanza enzi za Maximo. Boko naye jitu hakufanya maajabu yoyote enzi zake.