Wachezaji wanaofanana kwa sura lakini hawana undugu wowote

Wachezaji wanaofanana kwa sura lakini hawana undugu wowote

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Hii ni list ya wachezaji ambao wanafanana kwa sura lakini hawana undugu wowote.

1. Andrea Barzagli & Javi Fuego
B7042A3E-4CEA-4BDE-A9A8-8F9AD85D5EBD.jpeg

Wawili hawa ukiwatazama unaeza kusema mapacha lakini hawana undugu wowote. Barzagli ni Muitaliano wakati Fuego ni Mhispania. Kwasasa wote wamestaafu kabumbu.
 
6. Leo Messi & Alexis Mac Allister
2B57C6B0-2780-4F55-9C86-34FEC12DABDC.jpeg

Wawili hawa wanafanana kiasi na wote wanatoka Argentina na walitwaa pamoja Kombe la Dunia mwaka jana pale Qatar. Mac Allister akiwa Brighton huvaa jezi namba 10 ili kuendelea kujifananisha na mchawi wa soka duniani Leo Messi.
 
Hii ni list ya wachezaji ambao wanafanana kwa sura lakini hawana undugu wowote.

1. Andrea Barzagli & Javi Fuego
View attachment 2622748
Wawili hawa ukiwatazama unaeza kusema mapacha lakini hawana undugu wowote. Barzagli ni Muitaliano wakati Fuego ni Mhispania. Kwasasa wote wamestaafu kabumbu.
Hyu Barzagli aliundandaga ukuta mgumu sana pale Juventus ukiitwa BBC(Barzagli, Bonucci, Chiellin)
 
8. Giorgio Chiellini & Adane Girma
8E168FCF-B7D5-4262-B738-726C9A8C53A3.jpeg

Muethiooia Girma enzi anacheza alikuwa ni straika wakati Muitaliano Chiellini ni beki. Wawili hawa wana ufanano kwa mbali.
 
Back
Top Bottom