Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hahaha wabongo ndio kawaida yetuIngelikuwa Bongo, minong'ono kibao. Kuwa kuna mama mmoja kauza mechi kwa Mzee.
Griezman na Yunus Akgun wanafanana mno. Na wote wanatumia Mguu wa kushoto.
Hyu Barzagli aliundandaga ukuta mgumu sana pale Juventus ukiitwa BBC(Barzagli, Bonucci, Chiellin)Hii ni list ya wachezaji ambao wanafanana kwa sura lakini hawana undugu wowote.
1. Andrea Barzagli & Javi Fuego
View attachment 2622748
Wawili hawa ukiwatazama unaeza kusema mapacha lakini hawana undugu wowote. Barzagli ni Muitaliano wakati Fuego ni Mhispania. Kwasasa wote wamestaafu kabumbu.
Uko vizuri mkuu..bila kumsahau Gigi Buffon goliniHyu Barzagli aliundandaga ukuta mgumu sana pale Juventus ukiitwa BBC(Barzagli, Bonucci, Chiellin)
Sio mimi niliewafananishaMmmh mtake radhi Messi sijaona ufanano hapo
11. Pogba & Tchouameni
View attachment 2622786
6. Leo Messi & Alexis Mac AllisterView attachment 2622769
Wawili hawa wanafanana kiasi na wote wanatoka Argentina na walitwaa pamoja Kombe la Dunia mwaka jana pale Qatar. Mac Allister akiwa Brighton huvaa jezi namba 10 ili kuendelea kujifananisha na mchawi wa soka duniani Leo Messi.