Wachezaji wanaovuta mkwanja mrefu Yanga SC

Nobunaga

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,205
Reaction score
5,121
WACHEZAJI WANAOVUTA MKWANJA MREFU YANGA SC:

1.Aziz Ki -Sh 23.2M
2.Morrison -Sh 23.2M
3.Aucho - Sh 16.2M
4.Mayele - Sh 16.2M
5.Diara-Sh 9.2M
20220913_214420.jpg
 
Kama ni kweli basi Yanga haimtendei haki Mayele

Mayele ana influence kubwa sana katika ubingwa wa msimu uliopita, Morrison alikuwa sio wakumzidi Mayele.

Huyo Azizi Ki hajafikia hadhi ya 16.2M, hayo ni matumizi mabaya ya pesa na ulimbukeni.

Mayele alitakiwa ale sambamba na Nabi ikiwezekana Nabi azidiwe kabisa
 
Kama Mzungu anavyovuta mpunga mrefu kuliko juma mgunda 😂😂😂😂😂
 
Ila Fei toto hatendewi haki ama ni yeye kutotambuwa thamani yake.Make anafanya kazi kuliko Azizi K.
 
Acheni ujinga,usitegemee eti kufanya kazi sana ndo kupewa au kupata hela nyingi,maisha ndo yalivyo kila mtu na bahati yake
 
WACHEZAJI WANAOVUTA MKWANJA MREFU YANGA SC:

1.Aziz Ki -Sh 23.2M
2.Morrison -Sh 23.2M
3.Aucho - Sh 16.2M
4.Mayele - Sh 16.2M
5.Diara-Sh 9.2M
View attachment 2355943
Kama ni kweli wanakosea sana na kuna watu hawawapi heshima zao mtu bangala msim uliopita kaupiga mwingi , mayele , Feisal... huyo morison sjui mchawi hata sielew
 
Feitoto haijui nafasi yake...
Ndo Tatizo lakutokuwa na wakala Msomi...
Na ukitaka kujua Yanga wachawi Feisal wame mpa mkataba wa miaka minne.Achomoki...Mapesa wanachukua kina Aziz kyum
 
Kama ni kweli basi Yanga haimtendei haki Mayele

Mayele ana influence kubwa sana katika ubingwa wa msimu uliopita, Morrison alikuwa sio wakumzidi Mayele.

Huyo Azizi Ki hajafikia hadhi ya 16.2M, hayo ni matumizi mabaya ya pesa na ulimbukeni.

Mayele alitakiwa ale sambamba na Nabi ikiwezekana Nabi azidiwe kabisa
Leo umeongea point . Mayele anatakiwa ale mshahara sawa na Nabi + Hersi said+ manara
 
Kama ni kweli basi Yanga haimtendei haki Mayele

Mayele ana influence kubwa sana katika ubingwa wa msimu uliopita, Morrison alikuwa sio wakumzidi Mayele.

Huyo Azizi Ki hajafikia hadhi ya 16.2M, hayo ni matumizi mabaya ya pesa na ulimbukeni.

Mayele alitakiwa ale sambamba na Nabi ikiwezekana Nabi azidiwe kabisa
From hater to loyal fan [emoji23][emoji23]
 
Kama ni kweli basi Yanga haimtendei haki Mayele

Mayele ana influence kubwa sana katika ubingwa wa msimu uliopita, Morrison alikuwa sio wakumzidi Mayele.

Huyo Azizi Ki hajafikia hadhi ya 16.2M, hayo ni matumizi mabaya ya pesa na ulimbukeni.

Mayele alitakiwa ale sambamba na Nabi ikiwezekana Nabi azidiwe kabisa
Na Fei Toto. Azizi ilikua ni vita ya kifedha ndiyo maana imefika huko
 
Back
Top Bottom