Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Huwa naona timu za mpira ulaya wanahamasisha kampeni za mambo mbalimbali kama vile upingaji ubaguzi wa rangi au kuwanyanyapaa mashoga. Hii ni kutokana na nguvu ya michezo.
Marekani pia timu za mpira wa basketball huwa na harakati mbalimbali dhidi ya mauaji ya bunduki.
Huu ni wakati sahihi wa timu za Simba na Yanga kufanya kampeni mbalimbali za uwanjani dhidi ya utekaji, upoteaji na mauaji holela ya raia kwa sababu ya nguvu yao ya hamasa katika jamii inaweza kuwa na uzito mkubwa sana.