Wachezaji Wengi Wa Simba SC Walioenda Kwenye Timu zao za Taifa Wamezisaidiaje?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Jana na Juzi tulishihidia mitanange ya kufuzu kuelekea World Cup huko Qatar.

Nilikuwa na hamu na shauku kubwa kujua ni namna gani wachezaji wamezisaidia timu zao za Taifa kushinda. Hasa timu fulani hapa nchini ambayo ilijinasibu kupeleka wachezaji wengi kwenye Mataifa yao.

Ni timu moja tu mchezaji mmoja tu wa Simba ambaye ameisaidia timu yake ya Taifa kushinda. Nae hi Tadeo LWANGA, ambapo napo asingeweza vyema kuisaidia Uganda kupata ushindi pasi na kuwepo kwa Khalid AUCHO.

Wachezaji wengi wa Simba SC walioenda kwenye mataifa yao wamekuwa kama mikosi.

Mwalimu wa Kongo Hector Cuper aliligundua hilo Mapema, ndio maana alivyomuita tu Inonga kwenye kikosi cha awali siku ya pili yake AKAMKATA. Wala hakutaka kulemba
111.JPG
 
Hata Ukiifuatilia vyema Timu yetu ya Taifa ya Tanzania yaani Taifa Stars imekuwa ikifanya vibaya kipindi ambacho ina wachezaji wengi kutoka Simba Sports Club.

Hayo sio maneno yangu bali ni taarifa ya kihistoria na mwenendo mzima wa Taifa Stars.
 
Hoja zingine hazina hata maana, inaonekana una roho mbaya sana wewe
 
Wamesaidia vilabu vya Tanzania kupata nafasi nne kimataifa na kubeba timu Kama utopolo kupanda ndege ingawa bado haijitambui na kutolewa mapema
 
Hata Ukiifuatilia vyema Timu yetu ya Taifa ya Tanzania yaani Taifa Stars imekuwa ikifanya vibaya kipindi ambacho ina wachezaji wengi kutoka Simba Sports Club.

Hayo sio maneno yangu bali ni taarifa ya kihistoria na mwenendo mzima wa Taifa Stars.

Kwa kuna mwaka Taifa Stars ilishawahi kufanya Vizuri? Hebu nikumbushe Mafanikio ya Taifa Stars waliyoleta hao Wachezaji wa Yanga?
 
Jana na Juzi tulishihidia mitanange ya kufuzu kuelekea World Cup huko Qatar.

Nilikuwa na hamu na shauku kubwa kujua ni namna gani wachezaji wamezisaidia timu zao za Taifa kushinda. Hasa timu fulani hapa nchini ambayo ilijinasibu kupeleka wachezaji wengi kwenye Mataifa yao.

Ni timu moja tu mchezaji mmoja tu wa Simba ambaye ameisaidia timu yake ya Taifa kushinda. Nae hi Tadeo LWANGA, ambapo napo asingeweza vyema kuisaidia Uganda kupata ushindi pasi na kuwepo kwa Khalid AUCHO.

Wachezaji wengi wa Simba SC walioenda kwenye mataifa yao wamekuwa kama mikosi.

Mwalimu wa Kongo Hector Cuper aliligundua hilo Mapema, ndio maana alivyomuita tu Inonga kwenye kikosi cha awali siku ya pili yake AKAMKATA. Wala hakutaka kulemba
View attachment 1969115

Kila Timu ina wachezaji 11 uwanjani, Sasa ukitoa Mchezaji Mmoja wa Simba hao 10 waliobakia wamezisaidia nini Timu zao?
 
Kwa kuna mwaka Taifa Stars ilishawahi kufanya Vizuri? Hebu nikumbushe Mafanikio ya Taifa Stars waliyoleta hao Wachezaji wa Yanga?
Mara ya mwisho mwaka 2010.

Ilifanya vizuri kwa kubeba ndoo ya CECAFA.

M Mwarami
E Nyoni
Y Kelvin
K Makasi
M Ngasa

M Mgosi
N Haroub
J Kaniki
S Nsajigwa
K
Nizzar
H Abdullahim
S Mwasika

Substitutes​

S Kado
S Kanoni
J Aziz
A Morris
J Bocco
J Tegete
N
Bakari
D Naftali
 
Kila Timu ina wachezaji 11 uwanjani, Sasa ukitoa Mchezaji Mmoja wa Simba hao 10 waliobakia wamezisaidia nini Timu zao?
Swali ni kwamba General impact ya wachezaji hao iko wapi?
 
Mara ya mwisho mwaka 2010.

Ilifanya vizuri kwa kubeba ndoo ya CECAFA.

M Mwarami
E Nyoni
Y Kelvin
K Makasi
M Ngasa

M Mgosi
N Haroub
J Kaniki
S Nsajigwa
K
Nizzar
H Abdullahim
S Mwasika

Substitutes​

S Kado
S Kanoni
J Aziz
A Morris
J Bocco
J Tegete
N
Bakari
D Naftali

Kubeba CECAFA? 😂😂😂
Kwahiyo hayo ndiyo Mafanikio?

Kwahiyo kinachoendelea sasa hivi mechi za kutafuta nafasi ya World Cup ndiyo sawa na CECAFA? 😂
 
Mbona unashangaa mafanikio ya cecafa? kwanin stars ishafanikiwa wapi zaidi ya hapo?
 
Back
Top Bottom