demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Jana na Juzi tulishihidia mitanange ya kufuzu kuelekea World Cup huko Qatar.
Nilikuwa na hamu na shauku kubwa kujua ni namna gani wachezaji wamezisaidia timu zao za Taifa kushinda. Hasa timu fulani hapa nchini ambayo ilijinasibu kupeleka wachezaji wengi kwenye Mataifa yao.
Ni timu moja tu mchezaji mmoja tu wa Simba ambaye ameisaidia timu yake ya Taifa kushinda. Nae hi Tadeo LWANGA, ambapo napo asingeweza vyema kuisaidia Uganda kupata ushindi pasi na kuwepo kwa Khalid AUCHO.
Wachezaji wengi wa Simba SC walioenda kwenye mataifa yao wamekuwa kama mikosi.
Mwalimu wa Kongo Hector Cuper aliligundua hilo Mapema, ndio maana alivyomuita tu Inonga kwenye kikosi cha awali siku ya pili yakeAKAMKATA. Wala hakutaka kulemba
Nilikuwa na hamu na shauku kubwa kujua ni namna gani wachezaji wamezisaidia timu zao za Taifa kushinda. Hasa timu fulani hapa nchini ambayo ilijinasibu kupeleka wachezaji wengi kwenye Mataifa yao.
Ni timu moja tu mchezaji mmoja tu wa Simba ambaye ameisaidia timu yake ya Taifa kushinda. Nae hi Tadeo LWANGA, ambapo napo asingeweza vyema kuisaidia Uganda kupata ushindi pasi na kuwepo kwa Khalid AUCHO.
Wachezaji wengi wa Simba SC walioenda kwenye mataifa yao wamekuwa kama mikosi.
Mwalimu wa Kongo Hector Cuper aliligundua hilo Mapema, ndio maana alivyomuita tu Inonga kwenye kikosi cha awali siku ya pili yake