King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Mbona unashangaa mafanikio ya cecafa? kwanin stars ishafanikiwa wapi zaidi ya hapo?
Ewaaaa! Ndiyomana nikakwambia Tanzania haijawahi kufanikiwa Kimpira regardless imejaza wachezaji wa Simba au Yanga.
Mwinyi alishamaliza kazi "Ni Kichwa cha Mwendawazimu".