Wachimbaji visima vya maji kwa mashine: Tutakupa pampu, UPVC Pipes, utasafishiwa kisima na kupewa tenki

Wachimbaji visima vya maji kwa mashine: Tutakupa pampu, UPVC Pipes, utasafishiwa kisima na kupewa tenki

TAWA WATER PROFFESIONAL

PUNGUZO LA BEI YA UCHIMBAJI WA VISIMA.

Ile kampuni yako bora ya uchimbaji wa Visima inapenda kukutangazia kuwa sasa tupo kwenye punguzo la bei ya uchimbaji wa Visima pamoja na Ufanyaji wa utafiti wa maji ardhini ( Underground water survey) sasa ghalama zetu tumezipinguza zaidi na kuendelea kuwa nafuu sana.

Ukichimba nasi tutakuwekea bomba (Upvc),kisafishiwa kisima pamoja na kuwekewa pampu bure kabisa.

Kwa maelezo zaidi;

Tupo Dar Es salaam Chanika.

Mawasiliano: 0689 150.968
0764 418 248
0625 576 082_Watsapp only

FB_IMG_1601025343139.jpeg
FB_IMG_1601025339098.jpeg
 
Karibu sana boss

Ila ukweli na usemwe kampuni nyingi za uchimbaji visima kwa mitambo sio Rafiki kwa mtu wa hali ya kati. Mmejikita sana kwa wenye vipato vikubwa. Lakini ndo biashara ilivyo mkuu ngoja tuendelee tu kutumia maji ya mito. Niliuliza kuchimba kisima kwa mkoa wa mwanza gharama ilikuja milioni 7 daaahhhh
 
Mimi mnyonge naomba utaje angalau bei elekezi.
 
TAWA WATER PROFFESIONAL

Bei za kuchimba visima na Underground water survey

Mikoa bei ya Uchimbaji bei ya Utafiti

Dar Es salaam Tshs 70000/Mt Tshs 250000
Pwani mkoa Tshs 70000/Mt Tshs 350000
Morogoro mjini Tshs 90000/mt Tshs 500000
Dodoma Tshs100000/Mt Tshs 650000
Singida Tshs 120000/Mt Tshs 650000
Iringa Tshs 120000/mt Tshs 650000
Mbeya Tshs 120000/Mt Tshs 650000

Hizo ni bei ya baadhi ya maeneo. Bei zetu za uchimbaji zinajumuisha pamoja na uwekaji wa bomba Upvc pamoja na ufungaji wa pampu bure kabisa.

Nb: kampuni yetu imesajiliwa na serikali kwa utoaji wa huduma hizo.

Tupo Dar Es salaam Chanika.

Mawasiliano:
0689 150 968
0764 418 248
0625 576 082_Watsapp only


FB_IMG_1601025343139.jpeg
 
Hizo gharama ni pamoja na kujenga au ni kuchimba tuuu ?? Maana ni kubwa sana aiseee.
 
Mkuu mi nipo dar nataka unipe bei kamili kusavei na kuchimba kisima mpaka ninywe maji gharama jumla ni sh ngap maana ulivoandika hapo mi sjaelewa hata robo
 
Sisi kama TAWA WATER PROFFESIONAL kampuni bingwa ya uchimbaji wa Visima vya maji safi na salama tumepewa jukumu la kuwapatia WaTanzania maji yaliyo safi na salama nchi nzima.

Hiyo picha ya chini ni eneo la St. Thomas Nyabula Sec school ipo Iringa tukiendelea na uchimbaji wa kisima

Karibuni sana: Gharama zetu ni nafuu sana

Mawasiliano: 0689 150 968
0764 418 248
0625 576 082_watsapp

FB_IMG_1574852913321.jpeg
FB_IMG_1596873619930.jpeg
 
Back
Top Bottom