Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Jiulize kwa nini watu wanayaweka kwenye maeneo ya starehe ina maana yanawalipa.unataka tuwaite wawekezaji hawa wanaoleta ma dude ya kamali yale? Hao ni wababaishaji tu hata kama kwao wametuzidi uchumi.
Wachina ni kama Wachaga wa AsiaChina ni kati ya taifa ambao watu wake wanatoka sana kusaka fursa
Na china kuna American Town??kama hakuna basi ujue marekani sio kama ushuzi eti useme ukinywa maji bila kula utajambaInawezekana hujui hata umeandika nini, Bruce Lee ni Mmarekani na kaburi lake lipo Marekani.
Ukijuwa population ya Wahindi na Wachina huwezi kuandika huu ujinga kushangaa watu hawa kuwepo duniani kote.
Marekani kuna Chines town, hii maana yake ni jamii inayotambulika Marekani.
Raia wa marekani wapo China lakini population haiwezi fanana na Chinese people waliopo US kwa sababu China ina watu wengi tofauti na US.
Naunga mkono hojaKuna mgeni mzungu aliwahi kukamatwa na uhamiaji kisa vibali vya kazi, hiyo ilitokea baada ya kuchongewa.
Sasa ile wanaongozana naye, akasema "I am American", aisei ghafla upepo ukabadilika, wale maofisa wakanywea balaa na kumuambia jameni hatujakukamata, tutakusaidia uombe vibali, na kweli wakamsaidia, ila mwanzoni walikua wanampelekesha balaa.
Kuwa raia wa Marekani ni hadhi ya juu, hata wanawake wengi matajiri huenda kuzalia huko ili watoto wawe na uraia moja kwa moja.
Sizungumzii ma casino nazungumzia yale ya kuweka coin.Jiulize kwa nini watu wanayaweka kwenye maeneo ya starehe ina maana yanawalipa.
Elimu ya biashara muhimu sana kwa Watanzania. Wenzetu wanaona fursa sisi tunaona ubabaishaji.
Inaskitisha sana taifa likiwa na vijana kama hawa
Kazi kweli kweli 🤔
Nani na nani ana chuki na US ?Hamnaa hutakuta Wamarekani wanahangaika umachinga kule China, mkubali ukweli Marekani ni bingwa dunia, chuki zenu dhidi yake hazisaidii kitu.
Nauli ya kutoka China hadi Tanzania na kurudi kwao ni shilingi ngapi, ili tuone kuna nini wanachokipata hapa kwetu.Kwahiyo unataka tuwaite wawekezaji hawa wanaoleta ma dude ya kamali yale? Hao ni wababaishaji tu hata kama kwao wametuzidi uchumi.
Taifa letu bado halina ufuatiliaji wa karibu wachina machinga wapo kibao hapo K.koo huo ndio ukweli.
Sijaelewa mantiki yako mkuu.Nauli ya kutoka China hadi Tanzania na kurudi kwao ni shilingi ngapi, ili tuone kuna nini wanachokipata hapa kwetu.
[emoji23][emoji23] mkuu umedadavua vizur sana jina lake yaan as if una solve zile hesabu za Sin, Cos plus logarithmsUsername yako imeanza na Dr. na kumalizia PhD. Katikati kuna Matola. Kijijini kwetu Matola ni mavi.
Mzee si ungeuliza? Kwani kuwepo Wachina-Wamarekani kunazuia Wachina wasioWamarekani kwenda kutafuta maisha? Kama unahitaji nyama zaidi kwenye andiko langu si ungeuliza? Poor Makimba.
Nani na nani ana chuki na US ?
Kwani huko marekani masikini hamna?? "yaleyale tu sema huko wengi wanatambia status ya nchi huku wengine wakiwa makapuku wakifa na tai shingoniHujamjibu ila umemjibu kishabiki tu. China pamoja na kuwa na uchumi wa pili kwa ukubwa duniani lakini watu wake wengi sana bado wanaishi chini ya mstari wa umaskini na ndio maana wengine wanakuja hata kufanya umachinga huku kwetu.
Wakati huohuo serikali yao eti inahangaika kutafuta namna ya kutaka kwenda mwezini. Bure kabisa.
Hiyo kampuni inalipa kodi kwa serikali shida iko wapi mkuu?Sizungumzii ma casino nazungumzia yale ya kuweka coin.
Sehemu za starehe unazijua mkuu? Yani madude yapo mitaani ndio sehemu za starehe? Ukienda kwao uweke hayo mitaani watakuruhusu?
Kwahyo fursa za biashara ni kuweka hayo madude yazagae mtaani unajua athari zake baada ya muda?
Wewe ndio kijana wa hovyo kabisa kama ni mzee basi huna busara ni mtu mzima hovyo.
Labda nikuulize swali: Kwa nini Wachina wanakuja kufanya biashara hapa Tanzania, kwamba Tanzania ni bingwa dunianiHamnaa hutakuta Wamarekani wanahangaika umachinga kule China, mkubali ukweli Marekani ni bingwa dunia, chuki zenu dhidi yake hazisaidii kitu.
Ni kama vile tunavyoiona New York kwa TV na mitandaoni ila tembelea humo mitaani kama Bronx, Brooklyn, Wall Street au Broadway uone masikini na homelessness ilivyoshamiri watu wanalala kwenye maboksi na wanasubiri chakula cha bureWatu wengi huamini China maisha ni poa kwa kuangalia Shanghai, Hongkong, Macau, Guangzhou, Yiwu
Nenda ndani ndani huko utajua uhalisia wa maisha ulivyo mgumu, kwanza hata stendi ni vumbi
Labda nikuulize swali: Kwa nini Wachina wanakuja kufanya biashara hapa Tanzania, kwamba Tanzania ni bingwa duniani
Wachina ni watu wa fursa popote wanaingia kutengeneza pesa wanapiga hela hapo Marekani mpaka wenyeji wameanza kuwaonea wivu.
Baadhi ya majimbo wameweka sheria Wachina wasimiliki ardhi
Na wao ni wajanja, huwa hawaoneshi jinsi Buguruni ya China ilivyo mbovu.Watu wengi huamini China maisha ni poa kwa kuangalia Shanghai, Hongkong, Macau, Guangzhou, Yiwu
Nenda ndani ndani huko utajua uhalisia wa maisha ulivyo mgumu, kwanza hata stendi ni vumbi