Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Jiulize kwa nini watu wanayaweka kwenye maeneo ya starehe ina maana yanawalipa.unataka tuwaite wawekezaji hawa wanaoleta ma dude ya kamali yale? Hao ni wababaishaji tu hata kama kwao wametuzidi uchumi.
Elimu ya biashara muhimu sana kwa Watanzania. Wenzetu wanaona fursa sisi tunaona ubabaishaji.
Inaskitisha sana taifa likiwa na vijana kama hawa
Kazi kweli kweli 🤔