Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Taarifa zote za ukuaji wa uchumi wa China zinazokuwa officially recognised kimataifa ni za IMF na WBTaasisi za kimataifa zimepigwa marufuku kufanya uchunguzi China, sheria ya ujasusi waliyoipanua inakataza shirika AMA mtu yoyote kukusanya taarifa zozote za kiuchumi from china.
Ni kwamba taarifa za kiuchumi zinatolewa na China ministry of statistics, wazungu tu wenyewe walishangazwa na hizo ripoti zilivyotoka mimi ni nani hadi niziamni
Fuatilia mzee baba uoneHizo sio data za WB,
Tangazo la ukuaji wa uchumi wa China wa asilimia 4.5 ilitolewa na CCP na sio IMF wala WB. Na China inajulikana kwa kutokuwa na uwazi na ukweli haswa katika data zake
Sasa kama wachina tu wenyewe hawaiamini CCP utanilazimisha VP mm niiaminj
SI KWELITaasisi za kimataifa zimepigwa marufuku kufanya uchunguzi China
Mmekaririshwa propaganda na media za WestWatu wengi huamini China maisha ni poa kwa kuangalia Shanghai, Hongkong, Macau, Guangzhou, Yiwu
Nenda ndani ndani huko utajua uhalisia wa maisha ulivyo mgumu, kwanza hata stendi ni vumbi
Wap nmesema sina jibu ? Kuwa serious boss , sema huna jibu tukusaidie sio kutuwekea kauli mdomonSasa kama wewe huna jibu kwa nini wasema maoni yangu sio sahihi ?
Man this is 幼稚的